Ukweli kuhusu maisha ya watanzania walioko ughaibuni

Speaking of which....juzi juzi tu hapa kuna watu wamemlawiti jamaa ambaye inadaiwa alikuwa anatoka na mke wa mtu.

Sasa hao waliomlawiti sijui watashitakiwa kwa makosa gani maana nimesikia baadhi wamekamatwa.

Tuone kama watashitakiwa chini ya hiyo sheria ya ushoga!

Lakini wapo baadhi ya Watanzania wanaopinga vikali ushoga na vitendo vyake lakini walikuwa mstari wa kuunga mkono matendo aliyofanyiwa yule mtu.
 
mtanzania hata akiwa na uraia wa nje lakini bado tu atabaki kuwa na mapenzi ya nchi yake kama yuko nje atatuma fedha, kama kujenga atajenga huku tz n.k
wapo wa tz wengi wanafanya hivyo, kwa hyo mimo sioni sababu ya kuzuia dual citizenahip kwa tanzania
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Lakini wapo baadhi ya Watanzania wanaopinga vikali ushoga na vitendo vyake lakini walikuwa mstari wa kuunga mkono matendo aliyofanyiwa yule mtu.

Hapo ndo ujue kwamba akili za Watanzania wengi zina mushkili!

Utajifanyaje unapinga ushoga tena kwa nguvu zote halafu uone matendo aliyofanyiwa huyo bwana kuwa ni sawa?

Hapo usikute katika akili zao wao wanaona kwamba shoga ni yule anayepokea dushe tu lakini anayeingiza dushe si shoga.

Hahahahaa kwa akili hizi kweli safari bado ni ndefu sana.
 
Hapo usikute katika akili zao wao wanaona kwamba shoga ni yule anayepokea dushe tu lakini anayeingiza dushe si shoga.

Well, baadhi ya comments za Watanzania baada ya Mugabe kusema "If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"

Ukifanikiwa kuwaongoza watu kama hawa utakuwa na peace of mind. No wonder kila mtu Bongo anautaka urais.

Salute kwako uncle mugabe..

huyu ndio kidume,sio huyu wa tz

Viva Komredi Mugabe

Hichi ndicho kidume pekee kilichobaki Afrika Viva Komredi Mugabe!!!

Long live Mugabe, ila upumzike babu umri na afya yako vina decelerate

Haya majibu yake hayaitaji swali la nyongeza

Huyo ndio Simba anaengea bila kumung unya maneno

Huyu ndio simba Wa Africa!

the remaining head among heads of africa!

 
Father x mas uko sahihi mi najua watu waliomaliza darasa la saba toka tz lakin marekan japo wanafanya kazi za kawaida lakin hawakosi million 6 kwa mwezi na wamejenga kwao.

sasa tujiulize hao watu wangekuwa tz hio million 6 wangeipata?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sasa yupi mkweli wewe au Le mutuz?? Anyway nitakuja kutembea majuu nijionee.
 
Sasa kama alikuwa na pass ya marekani, unasemaje unamuonea huruma kupanga foleni kwa wazungu. Huyo sio mtanzania, kwanza ameikana nchi yake akapata uraia wa US unless uniambie hiyo pass ni ya magumashi kitu ambacho kupata pass ya US kimagumashi sidhani. Hatuna uraia wa nchi mbili na hata kusumbuliwa na TRA inawezekana usumbufu huo ni kwa ajili ya mkanganyiko wa uhalali wake wa kufanya shughuli hizo. All tufate sheria iwe mtanzania au mgeni

Sheria hiyo imepitwa na wakati na ni ya kuvunjwa kama haitabadilishwa. Haiendani na dunia ya karne ya 21.
 
Nimebahatika kufika Dubai, India na China huko sijui tuipe uswazi maana mateso yanafanana, hata huko marekani Marland bado watu ni mlo mmoja lakini kuna nchi zimebarikiwa katika bara la Africa ziko kama ulaya, nchi kama Kenya kuna watu wanaishi kama mbinguni lakini ukizama tu pembeni ya mji kuna mtu kutwa kula uchafu tu. Ingawaje ukiweza kupiga mbwa mswaki, kuogesha wazee unaweza kumzidi nesi anayebeba vima hivyo hivyo pesa upatayo hiko pale pale kwa sababu wewe unaziona nyingi kwa idadi lakini ukikatwa kodi, ukaripia umeme na maji unabaki kama mbongo, imefikia mtu anakufa huko mnamchoma kutokana na maisha magumu. Hivi huko uliko ukiishiwa nguvu unafanyaje kama wewe kazi yako ni kutumia nguvu? mnajibakiziaga pension za uzeeni au mnasubiri mkifa mchomwe moto. Umetusaidia kutotaka uraia pacha maana umekwepa upopo, basi taja nchi uliyopo kama ni kwema nasi tuende kuzisaka na kurudi kujenga nchi yetu kama wewe unavyoijenga sasa remotely

Sasa kodi zao si ndiyo zinaletwa huku kwetu kupitia NGO's, benki ya dunia, umoja wa mataifa n.k.? Pamoja na kwamba tunawakejeli hawa wabeba maboksi, lakini kodi wanazolipa huko wanapoishi zinatusitiri.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama Ulaya kuzuri mno si muhamie. Mkipata uraia wa huko kuzuri Uraia pacha wa nini.? Na wazungu matajiri waliotoka nchi za kitajiri wanakuja huku kufuata nini? Je wanakuja kuonja ladha ya umaskini? Tatizo nililolibaini tumejifunza kukariri siyo kuchanganua. Ndiyo maana vitu vyetu vyote tunasema kagundua mzungu. Vyakula vyetu vya kishenzi, dawa zetu za kishenzi,utamaduni wetu wa kishenzi.Tunamakaratasi yanaitwa vyeti,tutakapoelimika tutajua thamani yetu na bara letu. Ulaya inaihitaji Afrika kuliko Afrika inavyohitaji Ulaya. Kikwazo ni kizazi cha kunukuu

umeshawahi jiuliza kwa nini celebrities wanatumia madawa ya kulevya, wana kuwa depressed na wengine hujiua?jiulize utapata jibu kwa nini watu wanazichoka hizo"raha" za majuu.

Wewe maji kutoka 24/7 ni starehe kwa mwengine ni routine, umeme kutokukatika sio anasa, basi kuwepo kituoni ontime, likiwa full airconditioned na linafika linakoenda on time sio mazingaombwe,binafsi hurudi nyumbani kila ninapojisikia nimechoka na routines,Africa kuko random, kuna raha yake.Hao wazungu wanaokuja serengeti, usidhani kwao hakuna Zoo, ila wanapenda kuona vitu katika uasili wake.

mtu kubakia ulaya inategemea anapenda nini kwenye maisha yake, anapenda organisatoin au chaos,kuna wengine wanapenda organiation ila inafika kipindi zinawaboa pia, ndio maana wenzetu wakihit midlife crisis wanafanya vitu vya ajabu mfano kama kununua pikipiki na kusafiri around the world ku-reset.

Alichosema mtoa mada ni sahihi, Tanzania has the best social life for a Tanzanian who grew up here, hata watoto waliozaliwa huku ukiwapeleka kusalimia wajomba zao TZ wakikaa wiki moja wanaboreka wanataka kurudi "kwao",ironically kwa kuwa wako rooted zaidi ughaibuni kuliko TZ.Ni hulka tu ya binadamu usiichukulie serious kihivyo
 
Abroad uwe umeenda kwa mpango maalum na njia zinazojulikana. Sehemu nyingi maisha yapo ghali sana hasa kwenye accommodation. Unaweza kupata kibarua pesa yote ukawa unalipa bills. Ukiwa na umeenda kihalali unaweza kupataa msaada kutoka ustawi wa jamiii kuweza kujikimu. Mlioko nje zungumzeni ukweli abroad maisha sio rahisi kama unavyoweza kudhani. Ni kweli social services kama maji na usafiri viko poa ukilinganisha na hapa nyumbani. Miji ni misafi na security sio kama hapa kwetu
mkuu nje ni kazi, kazi, kazi na shule ukiweza basi
 
. father-xmas mimi naheshimu au naona siyo kila mtz aliyeko nje ana matatizo wapo wengine wana good time kutokana na connection za watu walizopata wapo wengine wakienda huko nje wanachemka wwnyewe kwa maana ya mpelampela wa huko hawauwezi.ila ukweli tu kwa nje huko kama utapatia ah utakula maisha bora sana, hata hapa bongo pia kuna wazungu wanakuja fanya kazi na wanapewa mishahara mikubwa sana mpaka wakati mikataba yao ikiisha hawataki ondoka...kwa nlivyokuelewa mleta mada unasema kitu kikubwa ni kujipanga, nakuliza swalI la kizushi sasa vp bado hapo denmark sehemu ya christiania ipo hahaahah

This is a myth, Mtu yoyote anayefanya kazi Kampuni au taasisi yoyote ya kueleweka anapewa kitu kinaitwa outfit allowance na madubwana mengine mengi yanayohusiana na relocation, pindi anapopelekwa nje ya kituo chake cha kazi.Sasa kama huyu mtu hana permanent roots kwa maana ya watoto wadogo wanaohitaji shule,mtegemezi anayehitaji uangalizi wa karibu hizi huwa ni golden opportunities za kufanya savings.

maisha Afrika ni nafuu mno!muingereza akiletwa Dar, anaweza kodi villa masaki kwa $2000, na akaishi kama mfalme, hiyo pesa hata apartment ya vyumba viwili London ni mtihani.Dar Expatriate anaweza kuishi kwa chini ya $3000 na hii ukijumuisha matumizi yote hadi malazi kwa mwezi,ukizingatia kuwa anapewa allowance ya nyumba na posho nyengine, mshahara wake unabaki kama savings, sasa huyu mtu lazima atapendelea hiki kipindi kiendelee kuwa kirefu kadri iwezekanavyo kwani anaendelea kujiongezea savings kwa kuishi nchi yenye maisha ya chini.Kingine wengi hupenda hali ya hewa isiyo na baridi-no body likes winter. leaving near the beach in tropical weather is hard to beat for many Caucasians.it's conditions only their bosses are entitled to. wao wamezoea kuishi kwenye cubicles kwa nchi kama UK, the weather is a mess, so having great African sunshine is a very nice proposition.

So hiyo mishahara ya wazungu wewe unaiona mikubwa kule kwao ni standard tu.Huwezi kumpunguzia mtu mshahara kwa kuwa anaenda nchi ya bei nafuu.
 
Nilichojifunza maisha yanaweza kua magumu sehemu zote. Hata mimi mwanzo nilikua siamini mtu anaweza kupigika akiwa nchi za watu. Mi nilikwenda kusoma tena nilikua na scholarship, pia nilifanya vibarua. Nimerudi niko poa ila ni kwasababu scholarship yangu ilikua inanilipia kila kitu. Otherwise saving ni ngumu sana

Sasa ulitegemea usipigike na 20 hours work permit yako?are you serious?mwanafunzi ndio daraja la chini kabisa kwa wenzetu, hukulengwa uwe comfortable hata kidogo, i can be sure u did just around 1000 euros kama ulikuwa ulaya.sasa hizi si ni pesa za wiki moja tu kwa mtu anayefanya casual labour full time?and probably you got stuck in those expensive university accommodations where they made sure they take half of what they gave you.

Inabidi tuweke limit ya watu kutoa maoni kuhusu maisha na kazi ughaibuni, angalau ufanye kazi na kuishi 3+ years,usilete hadithi za kukaa university campus mwaka mmoja halafu unakuja kutuambia umeishi ughaibuni unafahamu uhalisia wa maisha ya huko.

did you even had a credit history/rate?
 
Nimebahatika kufika Dubai, India na China huko sijui tuipe uswazi maana mateso yanafanana, hata huko marekani Marland bado watu ni mlo mmoja lakini kuna nchi zimebarikiwa katika bara la Africa ziko kama ulaya, nchi kama Kenya kuna watu wanaishi kama mbinguni lakini ukizama tu pembeni ya mji kuna mtu kutwa kula uchafu tu. Ingawaje ukiweza kupiga mbwa mswaki, kuogesha wazee unaweza kumzidi nesi anayebeba vima hivyo hivyo pesa upatayo hiko pale pale kwa sababu wewe unaziona nyingi kwa idadi lakini ukikatwa kodi, ukaripia umeme na maji unabaki kama mbongo, imefikia mtu anakufa huko mnamchoma kutokana na maisha magumu. Hivi huko uliko ukiishiwa nguvu unafanyaje kama wewe kazi yako ni kutumia nguvu? mnajibakiziaga pension za uzeeni au mnasubiri mkifa mchomwe moto. Umetusaidia kutotaka uraia pacha maana umekwepa upopo, basi taja nchi uliyopo kama ni kwema nasi tuende kuzisaka na kurudi kujenga nchi yetu kama wewe unavyoijenga sasa remotely

yani wewe hizi nchi unaita UGHAIBUNI? labda china ukiita Ughaibuni with an asterik.

Tukizungumzia Ughaibuni tunaongelea High Income OECD

List yake hii hapa chini,


High income: OECD | Data

usilete uchuro wa India sijui na kina nani UAE, usitishike na hayo magorofa yakhe.Kama hauko moja ya hizi nchi, situation yako na TZ hakuna tofauti sana.
 
kilio changu,

nashukuru kwa maelezo yako, nadhani ni vyema ikajulikana kuwa kuyatafuta maisha ni kokote, ila hiyo kokote sio lazima ifuatane na hisia mbaya za kule ulikoanzia. wachina wengi walifika marekani kama wasotaji wa mtaani, lakini leo walio wengi wana milki biashara lukuki katika nchi ile. Sio rahisi kuwasikia wakiambatanisha mafanikio yao na udhalili wa maisha huko kwao.
Wickama.
Tafadhali uninukuu vibaya, sipo pamoja na watu wanaodharau Tanzania bali najaribu kulinganisha maisha yetu hapa Tanzania na maisha ya huko Ulaya na Marekani. father-xmas kasema alikua ana uwezo wa kusoma lakini kwa yeye mtoto wa maskini asiye na connection (godfather) akashindwa kuboresha maisha yake akiwa Tanzania. Kasema akiwa Scandinavia alikunywa maji safi,alipata huduma nzuri za kijamii,alipata elimu nzuri na pia alifanya kazi ambazo sio za kitaalamu lakini aliweza kupata kipato kizuri.Hadi hapo ni ukweli ambao sio kutukana Tanzania, ni kweli ukiwa mtoto wa maskini Tanzania una maisha magumu sana, unaweza ukaumwa ukakosa huduma nzuri,utakunywa maji machafu,utapata elimu isiyo bora n.k n.k hayo sio matusi bali ni ukweli.

Ni kweli wapo waliofanikiwa Bongo ila ni ukweli ni kazi ya ziada ukiwa unatoka kwenye familia fulani fulani, inahitaji ujipange sana, lakini kwa yeye kubahatika kwenda Scandnavia na kwa kua alikua na malengo yake imara, basi amerudi Bongo akiwa vizuri kama alivosema.
Ni malengo tu, wapo wanaokwenda Ulaya na Marekani na hata wapate kazi wapi bado wanaweza wasiwe na maisha mazuri, wakashindwa hata nauli kuja kusalimu , ni mipango.

Wazungu wanakuja Tz na kupata pesa kirahisi kwa kua kwanza wanamitaji, ujanja na sisi kuwa mazuzu kuwaruhusu kuvuna mali zetu kirahisi.
 
Last edited by a moderator:
Walioko nje ya nchi kama professional migrants hao wana kitu cha kusema, wanafanya kazi za maana zenye ujira mzuri na wako kwenye position ya kuwekeza nyumbani, ila wale wa vibarua kwakweli wana hustle kusogeza siku.

Umeshawahi kufika UK, umeshawahi tembelea council houses wanazokaa watu wa chini kabisa?unaweza kuzifananisha na nyumba za wapi TZ?ile mitaa unaweza kufananisha na ya sehemu gani TZ?social services zilizokuwepo kwenye hizi council houses unaweza kuzifananisha na za sehemu gani TZ?
usiropoke tu.
 
Nyie ndo mlitakiwa mkatoe ushuhuda wenu ndani ya Bunge la Katiba juu ya faida na hasara za kuwa na uraia wa zaidi ya Tanzania.

"ndani ya Bunge la katiba" haturuhusiwi kuingia. Tuliowatuma ni majandaheka, hawajajuwa maana ya "lobbying" ingawa Kikwete alijaribu kuwaelimisha.

Lakini kumbuka, katiba si msahafu, kama si leo kesho, itabadilika tu.

Ikiwa Bibilia wajanja wanaibadilisha na mapunguani wanaikubali, itakuwa katiba?
 
"ndani ya Bunge la katiba" haturuhusiwi kuingia. Tuliowatuma ni majandaheka, hawajajuwa maana ya "lobbying" ingawa Kikwete alijaribu kuwaelimisha.

Lakini kumbuka, katiba si msahafu, kama si leo kesho, itabadilika tu.

Ikiwa Bibilia wajanja wanaibadilisha na mapunguani wanaikubali, itakuwa katiba?


hapo kwenye biblia umenichekesha sana.
 
Sasa ulitegemea usipigike na 20 hours work permit yako?are you serious?mwanafunzi ndio daraja la chini kabisa kwa wenzetu, hukulengwa uwe comfortable hata kidogo, i can be sure u did just around 1000 euros kama ulikuwa ulaya.sasa hizi si ni pesa za wiki moja tu kwa mtu anayefanya casual labour full time?and probably you got stuck in those expensive university accommodations where they made sure they take half of what they gave you.

Inabidi tuweke limit ya watu kutoa maoni kuhusu maisha na kazi ughaibuni, angalau ufanye kazi na kuishi 3+ years,usilete hadithi za kukaa university campus mwaka mmoja halafu unakuja kutuambia umeishi ughaibuni unafahamu uhalisia wa maisha ya huko.

did you even had a credit history/rate?
ni kweli kabisa kuna watu wanakuja huku ulaya na kukaa mwaka mmoja na kurudi..toka watoke kupokelewa airport wanapaona tena siku ya kurudi na hao ndo wanaoleta shida na tafsiri potofu kuhusu ughaibuni..sasa tuanze kuulizana ulikaa muda gani?? maana cultural shock bado zipo kichwani halafu akirudi anasema ughaibuni hakufai!! The minimum inatakiwa iwe 5yrs ndo una-qualify kujiita diaspora.
 
Back
Top Bottom