Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Igwe wana JF
Kuna sintofahamu kuwa Mbowe ,Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye hasa ndiye anatakiwa kuwa kinara kuelekea UKUTA, jana hakuonekana mbele ya waandishi wa habari wakati Tundu analalamika.
Haikupendeza na haitapendeka kukaimisha hoja hii kwa Lissu kwani yeye ndiye kiongozi anayepaswa kubeba maono ya chama. Itakuwa ni muendelezo wake kupotoea hasa pale amabapo anapokuwa ametangaza operesheni tata dhidi ya makatazo ya Dola.
Mbowe yuko wapi?...haonekani ufipa wala mikocheni!
wenye taarifa juu ya kamanda huyu ambaye huenda akakimbia vita tuambieni.