UKUTA wakosa waandamanaji

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.

Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.

Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Sasa haya mazoezi ya kivita mnafanya ya nini kama hakuna waandamaji
 
CHADEMA kilichakufa tayari. Wanataka kutumia vijana walioshindwa maisha kuandamana.

Lakini hiyo demo ni salam hata kwa nchi jirani wajue TZ sio nchi ya mchezo.
 
CV unayo Nzuri Mkuu sio ya kuunga na patex maana uteuzi anaangalia Vyeti pia...

Isanga, kumbe humu unakuwa against na serikali ili CDM wakuajiri kama red briged. Naandika nilichoshuhudia kisayansi si kutoa maneno kama kasuku tu
 
Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.

Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.

Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
poleni sana haya ndo matokeo ya maambo ya ajabu ajabu ............
endeleeni kucheza na akili za watanzania waliochoka matokeo yake mtatuhadithia ......................
 
Haya ahsante, nenda sasa ukafanye kazi! Rais alisema hakuna maandamano ili watu waachwe wafanye kazi ila nikashangaa kuwaoneni ninyi uvccm mnasahau agizo la rais la kufanya kazi eti nanyi mfanye maandamano ya kumpongeza rais, mmesikia wapi kazi zimeisha kwa mafanikio mpaka muandamane kupongeza? Waambie na wenzio wakafanye kazi, ahsante!
 
awamu hii watz wanazidi kuchoka ... endeleeni kuruka vigunia mitaani hamjiu mnazidi kuwafunza hao vijana mbinu za kuwateketeza ................

ndo maana mambo hayo yanahitaji faragha sasa ninyi endeleeni kutimba magwana ya kijeshhi muite na kamera na mjipost insta mdhani ndo watu watatishika ......tafuuteni mbinu za kutatua matatizo ya vijana sio maanyesho na matamko itawagharimu sana
enzi za kambarage ndo mambo yalikuwa ya woga siku hizi watz wamefunguka akili

mark my words
 
"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.

By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhaniwa kuwa tayari kkwa UKUTA! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima. So, mnatakiwa kuhofia hata kama ni vijana 9 kati ya 10 hawapo tayari, bado collection ya jeshi la kijana mmoja toka kila walipo vijana 10 sio jeshi dogo! Mbaya zaidi, huyo mmoja anakuwa tayari kwa lolote!
 
hahahaha
"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.

By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhania kuwa tayari kuingia mtaani! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima!!!
utampa presha mleta mada
 
Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.

Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.

Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mimi naona polisi ndio sasa wanafanya maandamano ya UKUTA badala ya wananchi bila kujijua, na tena wameanza mapema zaidi hata kabla ya tarehe yenyewe.
 
"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.

By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhaniwa kuwa tayari kkwa UKUTA! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima na kwahiyo mnatakiwa kuhofia hata kama ni vijana 9 kati ya 10 hawapo tayari bado collection ya jeshi la kijana mmoja toka kila walipo vijana 10 sio jeshi dogo! Mbaya zaidi, huyo mmoja anakuwa tayari kwa lolote!
Jibu la kisayansi kabisa hilo. Akajipange upya
 
Baada ya kutumikia raia badala yake mnawapa vitisho alafu kupitia vinywa vyao wanahubiri amani.kwa jambo jili mkapimwe sio bure.
 
CHADEMA kilichakufa tayari. Wanataka kutumia vijana walioshindwa maisha kuandamana.

Lakini hiyo demo ni salam hata kwa nchi jirani wajue TZ sio nchi ya mchezo.
Watu hawana kazi wewe unadai wameshindwa maisha!!?
 
Back
Top Bottom