Senegal: Waandamanaji wapinga pendekezo la Uchaguzi kufanyika June 2024, wataka ufanyike mwezi huu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
86a65d0d-9aba-4daf-8587-e0795063983e.jpg

SENEGAL: Mamia ya Waandamaji wameripotiwa kuendelea na maandamano ya kumshinikiza Rais Macky Sall kufanya Uchaguzi Mkuu ndani ya mwezi mmoja kabla ya muda wa Urais wake kumalizika April 2, 2024

Maandamano hayo yameendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja ikiwa ni tangu Rais Sall atangaze kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2025 na badala yake kusogeza mbele hadi Desemba 15, 2024, muda ambao ulibatilishwa na Baraza la Katiba

Baadhi ya madai ya Waandamanaji ni pamoja na kuachiwa kwa Kiongozi wa Upinzani Ousmane Sonko. Wiki iliyopita, Rais Sall aliunda kikosi cha Maridhiano ambacho kilipendekeza Uchaguzi ufanyike June 2024, hata hivyo Upinzani umegomea pendekezo hilo.

=========

Hundreds of protesters in the Senegalese capital Dakar have called for elections to be held before the end of President Macky Sall's term on 2 April.

Mr Sall sparked huge protests when he postponed last month's elections and failed to announce a new date.

On Saturday, protesters from opposition parties and campaigning groups called the president a dictator and demanded the release from prison of opposition leader Ousmane Sonko.

Delegates taking part in political crisis talks last week, which were organised by the president but boycotted by the opposition, recommended holding elections in June.
 
Viongozi wa Africa akili zinafanana sasa una ahirisha uchaguzi halafu hautoi sababu ya kughailisha yaani ameamua tu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom