UKOO unaotumia jina ili bado upo?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hiki sio kichekesho lakini nimeona nikilete huku.
Napenda kujua ule ukoo au Jina la MBORO kama bado lipo na linaendelea kutumika na wahusika. Au wameona si vema kulitumia hasa katika mazingia ya tanzania.

Nadhani ni watu wa kimanjaro. je bado wapo wanaolitumia ?
 
Ni jina la ukoo kama yalivyo majina mengine kwani vipi umelitafsiri tofauti nini?Mbona ni tofauti kabisa RO na O inatofautisha.
Kuna rafiki yangu anaitwa hivyo katoka huko lakini yuko canada kwa sasa anasoma.
 
Hiki sio kichekesho lakini nimeona nikilete huku.
Napenda kujua ule ukoo au Jina la MBORO kama bado lipo na linaendelea kutumika na wahusika. Au wameona si vema kulitumia hasa katika mazingia ya tanzania.

Nadhani ni watu wa kimanjaro. je bado wapo wanaolitumia ?

Acha zako, Kwa mazingira gani ya TZ hayo unayosema !!!! Hili jina lipo kitambo toka enzi ya Tanganyika !! Na linaendelea kuwepo na kutumika ipasavyo !!!
Na ninaamnini unachofikira pia kilikuwepo toka enzi hizooo za mwanzo wa dunia hii !!

Neno moja laweza kua na maana hata zaidi ya tano, na kutofautiana pale linapotumika tuu.
 
Haha haa haaa, halafu moja kati ya salamu zao iko hivi: Nantombe Mboro yani haspo mtu anasalimiwa asubuhi hapo! Baa!
 
Hizi salaam zinapatikana sana asubuhi toka kwa jamaa wanaoshuka toka mlimani kupitia KCMC,siku ya kwanza kidogo nitimue mbio.
 
Acha zako, Kwa mazingira gani ya TZ hayo unayosema !!!! Hili jina lipo kitambo toka enzi ya Tanganyika !! Na linaendelea kuwepo na kutumika ipasavyo !!!
Na ninaamnini unachofikira pia kilikuwepo toka enzi hizooo za mwanzo wa dunia hii !!

Neno moja laweza kua na maana hata zaidi ya tano, na kutofautiana pale linapotumika tuu.

Mkuu najua nneo moja lina maana zaidi ya sita sababu hili neno MBORO moja ya maana yake ni sehemu nyeti. Wewe kamuite mtu kwa jina hilo kati kati ya watoto wa darasa la pili uone mshangao watakaokuwa nao.

Pia iliwai kuja timu ya ghanakucheza na Tanzania mwaka fulani nyuma kukawa na mchezaji anaitwa Abdel Kumaa. Mtangazaji wakiti huo Domick Chilambo RIP aliomba radhi kuwa hatolitumia jina lile la pili wakati anatangaza mechi. Unadhani ni kwa nini

Sikatai ni jina lakini kwelikwa kiswahili ni la ajabu kidogo

Teh teh teh
 
Yaani hata mtotot wa std VII anaweza elewa hii!!! Kweli dua hadah.
 
1.KASWENDE(MTWARA)
2.KISHI(TANGA)
3.KIMAVI(KIGOMA)
5.MBOONI(HII NI WILAYA KENYA)
6.NATOMBEKA(UPARENI)
NK
Tushishabikie kwa kuwa hizi ni coincidences tu
 
Kuna gazeti moja la michezo la kiswahili nalo liliwai kutoa kali ya mwaka kwenye lile kombe la dunia lilifanyoka Korea na japan. Timu ya ubelgiji ilikuwa na Mchezaji anaitwa Mbo Mpenza na kituo cha timu hiyo ilikuwa Kumamoto

Sasa mwandishi akaamua kutumia sentensi "Mbo ndani ya Kumamoto" kwenye front page ya gazeti hilo la michezo.
 
Heshima kwako Mtazamaji,

Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro walikuwa wanalitumia jina hilo Mboro kwa wanaume na wanawake Mamboro.
Siku hizi hawalitumii tena na ukikuta wanolitumia labda wazee wa zamani lakini wanawake mpaka leo bado utakuatana nao wanaitwa Mamboro.Matamshi ya wenyeji ni tofauti kidogo na matamshi ya kiswahili hata linavyoandikwa utadhani ni kiswidishi inakuwa na vidoti viwili juu ya herufi O ukitamkaa unakunja ulimi kwenye herufi ya mwisho.

Ukoo wa Mboro siku hizi wanaitwa Mboya wengine wanaitwa Kipokola.wengine wanaweza kuongezea.
 
Hawa watu wanapatikana sana maeneo ya machame na sehemu inayoitwa masama.Kwa sasa wapo baadhi wanalitumia bado ila sehemu kubwa wanatumia NDOSI.Halafu mbona uchagani halina tafsiri zaidi ya ukoo.
 
Heshima kwako Mtazamaji,

Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro walikuwa wanalitumia jina hilo Mboro kwa wanaume na wanawake Mamboro.
Siku hizi hawalitumii tena na ukikuta wanolitumia labda wazee wa zamani lakini wanawake mpaka leo bado utakuatana nao wanaitwa Mamboro.Matamshi ya wenyeji ni tofauti kidogo na matamshi ya kiswahili hata linavyoandikwa utadhani ni kiswidishi inakuwa na vidoti viwili juu ya herufi O ukitamkaa unakunja ulimi kwenye herufi ya mwisho.

Ukoo wa Mboro siku hizi wanaitwa Mboya wengine wanaitwa Kipokola.wengine wanaweza kuongezea.

Mkuu usione aibu kuniita Mboro! huo ndo ukoo wangu na hata mama mangi aniita hivyo. Ni ukoo na si watu wa zamani kama unavyosema. Kama ni wazamani hata hii computer nisingeweza kutumia. Ukoo wa kawaida sana hapa KIBOSHO1
 
Heshima kwako Mtazamaji,

Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro walikuwa wanalitumia jina hilo Mboro kwa wanaume na wanawake Mamboro.
Siku hizi hawalitumii tena na ukikuta wanolitumia labda wazee wa zamani lakini wanawake mpaka leo bado utakuatana nao wanaitwa Mamboro.Matamshi ya wenyeji ni tofauti kidogo na matamshi ya kiswahili hata linavyoandikwa utadhani ni kiswidishi inakuwa na vidoti viwili juu ya herufi O ukitamkaa unakunja ulimi kwenye herufi ya mwisho.

Ukoo wa Mboro siku hizi wanaitwa Mboya wengine wanaitwa Kipokola.wengine wanaweza kuongezea.
sijui ni upande gani huu wa kilimanjaro lkn kwa upande ninaoufahamu mimi, hili jina ni la kinyumbani kwa wenye ukoo wa Maleko, na wanayatumia wakiwa wanatumia lugha ya kichaga na inawasaidia kutofautisha mwanamke na mwanaume
mfano:-
Maleko me anaitwa Mboro, ke Mamboro
Limo me anaitwa Limo, ke Malimo
Lyimo me anaitwa kisamo, ke Masanjuo notena hizi ziko zaidi ya 7 koo tofauti
Moshi me anaitwa Moshi, ke Linga n.k n.k ambayo mara nyingi yanatumika kinyumani zaidi
by the way hili sio tusi labda ubadilishe kwenye R uweke L
 
Back
Top Bottom