BRUCE LEE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 2,096
- 1,332
Habari zenu ndugu zangu, pole na majukumu ya kila siku, tafadhalini nina shida ambayo naamini naweza saidiwa humu jamvini, ninahitaji kujua ilikuaje tarehe 9 dec 1961, siku ya uhuru wetu sisi watanganyika, je uliimbwa wimbo wa Taifa la Tanganyika ? na kama ulikuwepo kuna mtu yoyote anaweza nisaidia hata verses zake hapa JF? najiona nisie na Nchi kwani siijui wimbo wa Taifa langu na pia hata bendera ya Taifa siioni ikipandishwa. Nisaidiene mistari ya nyimbo kama bado inakumbukwa.
mtakua mmenisaidia sana.
Asante sana na pia Mungu ibarikiTanganyika.
NAWASILISHA.
mtakua mmenisaidia sana.
Asante sana na pia Mungu ibarikiTanganyika.
NAWASILISHA.