Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,096
1,332
Habari zenu ndugu zangu, pole na majukumu ya kila siku, tafadhalini nina shida ambayo naamini naweza saidiwa humu jamvini, ninahitaji kujua ilikuaje tarehe 9 dec 1961, siku ya uhuru wetu sisi watanganyika, je uliimbwa wimbo wa Taifa la Tanganyika ? na kama ulikuwepo kuna mtu yoyote anaweza nisaidia hata verses zake hapa JF? najiona nisie na Nchi kwani siijui wimbo wa Taifa langu na pia hata bendera ya Taifa siioni ikipandishwa. Nisaidiene mistari ya nyimbo kama bado inakumbukwa.

mtakua mmenisaidia sana.

Asante sana na pia Mungu ibarikiTanganyika.

NAWASILISHA.
 
Oooooh! TANU yajenga nchi,TANU aaaaaaah,TANU yajenganchi,Tanu aaaaaaaah! jamani TANU yajenganchi.
 
Unaujua wimbo wa TANZANIA, TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE......,. Mkuu huo ndio wimbo wa Taifa la Tanganyika wamefanya kubadilisha tu pale kwenye neno Tanganyika wameweka Tanzania, ndio wimbo wenyewe.
 
Habari zenu ndugu zangu, pole na majukumu ya kila siku, tafadhalini nina shida ambayo naamini naweza saidiwa humu jamvini, ninahitaji kujua ilikuaje tarehe 9 dec 1961, siku ya uhuru wetu sisi watanganyika, je uliimbwa wimbo wa Taifa la Tanganyika ? na kama ulikuwepo kuna mtu yoyote anaweza nisaidia hata verses zake hapa JF? najiona nisie na Nchi kwani siijui wimbo wa Taifa langu na pia hata bendera ya Taifa siioni ikipandishwa. Nisaidiene mistari ya nyimbo kama bado inakumbukwa.

mtakua mmenisaidia sana.

Asante sana na pia Mungu ibarikiTanganyika.

NAWASILISHA.
Tanganyika's national anthem was inspired by the lyrics of a 19th century ruga-ruga war song.

The national anthem is sung to the tune of 'Clementine' - Tanganyika, Tanganyika, oh my Darling Clementine....
 
Unaujua wimbo wa TANZANIA, TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE......,. Mkuu huo ndio wimbo wa Taifa la Tanganyika wamefanya kubadilisha tu pale kwenye neno Tanganyika wameweka Tanzania, ndio wimbo wenyewe.

MKUU MPWEKE.
asante sana nimekusoma hata kama sio huo kama vipi mi nadhani no bora tuutumie huohuo na kuanzia badala ya tanzani tanzania tuwe tunaimba tanganyika tanganyika. asanteni sana.
 
Wimbo tunaoutumia kama wa URT ndio ulikuwa wa TAnganyika "MUNGU IBARIKI TANZANIA"
 
Zanzibar kabla ya kuungana na sisi Tanganyika walikuwa na Wimbo wao wa taifa, je sisi Tanganyika kabla ya kuungana na Zanzibar tulikuwa na wimbo wetu wa Taifa. Je wimbo wetu upo wapi?

Tunataka kuutumia kama Wenzetu wa Zanzibar wanavyoutumia katika baraza lao wawakilishi na shughuli nyingine. Nautaka wimbo wangu wa taifa wa Tanganyika ili niweze kuwafundsha wa watoto wangu na Ndugu zangu. Mwenye nao anisaidie, najua tuna bendera lakini wimbo wa taifa siujui.

Wana JF nahitaji wimbo wa Nchi yangu ili nami niweze kujiringia nao
 
usipate shida mpendwa wetu la muhimu ni kuondoa tanzania na kupachika Tanganyika. hapo utakuwa umepata wimbo wa taifa wa Tanganyika!.
 
...wadau wanaoufahamu wimbo wa Taifa wa tanganyika watuwekee hapa jf. kama vipi watangaze tenda ya kutunga wimbo wa tanganyika,hakuna kulala karibia kitaeleweka... narudi bongo huku mwanakwerekwe ntadaiwa passport hivi karibuni...
 
Unaitwa God save our Queen!

God save our gracious Queen
Long live our noble Queen
God save the Queen!Send her victorious,Happy and glorious,Long to reign over us:God save The Queen!

Mbali na kuwa na wimbo wa taifa, Pia tuwe na Bendera yetu ya Tanganyika. Mimi napendekeza iwe na mchanganyiko wa rangi tano. Nyeusi (ikiwakilisha weusi wa asili ya watanganyika), Rangi nyekundu (kuwakumbuka babu zetu waliomwaga damu kwenye vita ya majimaji na ile ya kumuadabisha nduli Idi amini), Rangi nyeupe (kwa sababu Tanganyika imekuwa chachu ya kusaidia Amani na ukombozi wa nchi karibu zote kusini mwa afrika), Njano iwepo (kwa sababu bado ardhi yetu ina madini bwerere na gesi ya kutosha kuzalisha umeme) pia bendera inaweza kuwa na ufito wa kijani (kwa kuwa kilimo ndio uti wa mgongo kwa watanganyika).
 
Kama ingekuwa amri yangu ningeshauri ule wimbo wa "tazama raman utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka...." ni bonge la wimbo
 
Unaitwa God save our Queen!

God save our gracious Queen
Long live our noble Queen
God save the Queen!Send her victorious,Happy and glorious,Long to reign over us:God save The Queen!

...unaonekata ulikuwa wa kizalendo kwelikweli kwa malkia, kwa sasa utakuwa "God save our Tanganyika na maliasili zake.Long live our noble Tanganyikans, God save the tanganyika ! Send us the victorious,happy and glorious, Let you reign over us; God save Tanganyika"

..kibwagizo: peoples power shall always decide the future of tanganyika.God let the peoples power your voice.....

wadau ongezeeni nyama, nimeshaandaa baet za huu mwimbo.....
 
Kama ingekuwa amri yangu ningeshauri ule wimbo wa "tazama raman utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka...." ni bonge la wimbo

...kiongozi huu wimbo kwa ladha ni bomba ila ki maantiki haufai. Waliotuongoza kusoma ramani kwa miaka 50 iliyopita wametuingiza chaka bovu, so lazima tutoke kivingine kabisa....
 
Mbali na kuwa na wimbo wa taifa, Pia tuwe na Bendera yetu ya Tanganyika. Mimi napendekeza iwe na mchanganyiko wa rangi tano. Nyeusi (ikiwakilisha weusi wa asili ya watanganyika), Rangi nyekundu (kuwakumbuka babu zetu waliomwaga damu kwenye vita ya majimaji na ile ya kumuadabisha nduli Idi amini), Rangi nyeupe (kwa sababu Tanganyika imekuwa chachu ya kusaidia Amani na ukombozi wa nchi karibu zote kusini mwa afrika), Njano iwepo (kwa sababu bado ardhi yetu ina madini bwerere na gesi ya kutosha kuzalisha umeme) pia bendera inaweza kuwa na ufito wa kijani (kwa kuwa kilimo ndio uti wa mgongo kwa watanganyika).

...nakubaliana na wewe mkuu, pia tukomalie magogoni yetu maana ilkuwa kitovu cha ukombozi wa africa na inabeba historia ya tanganyika, magogoni ya muungano ijengwe dodoma...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom