Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

Wadau naomba kwa mwenye wimbo wa taifa wa Tanganyika atuwekee hapa ili tuweze ku download na tuanze kuuzoea mapema. Nimejaribu kuwasiliana na Mch. Mtikira ili aweze kunipatia santuri ya wimbo huu mtukufu lakini sijampata.
 
kesho utasikia mnataka na bendera mpya na kuendelea kama ilivyokua zanzibar mpaka wakajitangaza kuwa nnchi. haya mambo magumu sana jamani
 
Salamu,wakati tukijianda kupokea nchi iliyopetezwa ya Tanganyika,naomba mtukumbushe wimbo wa taifa hili ulikuwaje nataka nianze mazoezi ya kuuimba!
 
Mungu ibariki Tanzania,wabariki viongozi wake.....

katika wimbo huo kote kwenye Tanzania weka Tanganyika maana mambo mengi ya tanganyika yalifanywa ya Tanzania na nyerere kwa upendo wake kwa wazanzibar lakini leo wanamtukana.
 
Natoa ushauri wa bure kwa makampuni ya simu kuweka wimbo wa Tanganyika kulipiwa kama nyimbo nyingine za wasanii na mapato yapelekwe moja kwa moja serikalini tuna hamu nao sana.
(Kuupata wimbo huu wa Taifa la Tanganyika bonyeza ** utakuwa wakwako)
 
Wimbo ni huu huu tunaoutumia isipokuwa unabadili neno Tanzania na kuweka Tanganyika. Huu wimbo hutumiwa pia na Zambia, South Africa na Zimbabwe ila kwa lugha tofauti tofauti na kubadili maneno kufatana na nchi husika.
 
Bhandugu, naomba msaada kwa yeyote mwenye kuufahamu au kukumbuka ubeti wa wimbo wa taifa la TANGANYIKA kabla ya muungano. Ni muhimu jamii ya sasa na ijayo ilewe, kwa ajili ya kuweka sawa historia ya nchi yetu. tukufu.
 
Jamani nina swali huwa linaniumiza kichwa changu sana kabla hatujaungana na zanzibar wimbo wa taifa ulikuwa ni upi coz uhuru tulipata 1961 na muungano ni 1964.
 
Back
Top Bottom