Ni makadirio ya umri mkuu... huenda yuko na 18, you never know....Si wanasema mnaotumia samsung mna akili nyingi, sasa mkuu we mbona kama kuna vi upungufu 😁
Miaka 17 aisee… fanyeni mambo kama vile hamna mayai, wahuni watafilimba na wako labda uzae kiume tupu.
Sasa kama drake alimfata tyla kwa madiba na kumweleza vile anafeel, mimi n nan hata nione Eliza n mdogo?Si wanasema mnaotumia samsung mna akili nyingi, sasa mkuu we mbona kama kuna vi upungufu 😁
Miaka 17 aisee… fanyeni mambo kama vile hamna mayai, wahuni watafilimba na wako labda uzae kiume tupu.
Huko napajua babati mjini tu maeneo mengine Sijui!Mbolea n NPK mkuu, ekari 10 niko nazo.
Location n gawidu, manyara mkuu. Karibu
Uko sahihi mkuu, nlinunua kwa maelekezo ya mwenyeji wangu. Kesho naanza mchakato rasmi, nitakupa feedback ya kiasi kitakachotumika nitakapokamilisha misheniHuko napajua babati mjini tu maeneo mengine Sijui!
Ila mifuko 50 labda ulinunua Kwa tahadhari ekari kumi Kwa upandaji wa kisasa/ kitaaalamu ni mifuko 40 na venye inaweza isiishe! NPK ipo vzr, huko saiv mbegu kupatikana ni shida bei ya mfuko ni 18000 kama ulinunua mapema hongera
Oky haina shida turudi kwa Eliza Sasa! Eb angalia usajili wake kama majina yanafanana mgugo, mcheki mpaka apatikane mzee huyo ndo mwenyeji wako huko pambana mpaka apatikane huwezi piga nyeto huku unalimaUko sahihi mkuu, nlinunua kwa maelekezo ya mwenyeji wangu. Kesho naanza mchakato rasmi, nitakupa feedback ya kiasi kitakachotumika nitakapokamilisha misheni
2000 ni mtoto🤣acha hzo bnushauri wa bure mkuu, mpotezee ni mtoto afu ni wa 2000s... humuwezi atakusumbua mno
Kweli mkuu, hii kitu imenifikirisha sana.Oky haina shida turudi kwa Eliza Sasa! Eb angalia usajili wake kama majina yanafanana mgugo, mcheki mpaka apatikane mzee huyo ndo mwenyeji wako huko pambana mpaka apatikane huwezi piga nyeto huku unalima
Kwamba kukutana nae tu siku moja unataka uoe🤔🤔🤔🤔 duh!😓😓 angepokea ata simu bas angalau.
Ningemsubir had mwakan nimuoe mbona.... sasa ona hapatkan
Hapo sawaNilitaka mawasiliano hai mkuu, huenda ningefikia huko kama tungepatana. Eliza ni mrembo ujue