Uko wapi Eliza?

Si wanasema mnaotumia samsung mna akili nyingi, sasa mkuu we mbona kama kuna vi upungufu 😁

Miaka 17 aisee… fanyeni mambo kama vile hamna mayai, wahuni watafilimba na wako labda uzae kiume tupu.
Ni makadirio ya umri mkuu... huenda yuko na 18, you never know....
Ila nlimwelewa kusema ukwel. Alafuuuuu, ningemwoa ata miaka 3 mbeleni, angekuwa na 20's
 
Acha kuwaza ngono tuishi humu kwanza!

Ko mwenetu mifuko 50 Hapo ni kama ekari 12 flani hv

Mbolea ipi umechukua NPK au DAP?

Ntag location huenda tupo site moja
Mbolea n NPK mkuu, ekari 10 niko nazo.
Location n gawidu, manyara mkuu. Karibu
 
Si wanasema mnaotumia samsung mna akili nyingi, sasa mkuu we mbona kama kuna vi upungufu 😁

Miaka 17 aisee… fanyeni mambo kama vile hamna mayai, wahuni watafilimba na wako labda uzae kiume tupu.
Sasa kama drake alimfata tyla kwa madiba na kumweleza vile anafeel, mimi n nan hata nione Eliza n mdogo?
 
Mbolea n NPK mkuu, ekari 10 niko nazo.
Location n gawidu, manyara mkuu. Karibu
Huko napajua babati mjini tu maeneo mengine Sijui!

Ila mifuko 50 labda ulinunua Kwa tahadhari ekari kumi Kwa upandaji wa kisasa/ kitaaalamu ni mifuko 40 na venye inaweza isiishe! NPK ipo vzr, huko saiv mbegu kupatikana ni shida bei ya mfuko ni 18000 kama ulinunua mapema hongera
 
Uko sahihi mkuu, nlinunua kwa maelekezo ya mwenyeji wangu. Kesho naanza mchakato rasmi, nitakupa feedback ya kiasi kitakachotumika nitakapokamilisha misheni
 
Oky haina shida turudi kwa Eliza Sasa! Eb angalia usajili wake kama majina yanafanana mgugo, mcheki mpaka apatikane mzee huyo ndo mwenyeji wako huko pambana mpaka apatikane huwezi piga nyeto huku unalima
 
Kweli mkuu, hii kitu imenifikirisha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom