Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
1.THE ONE ya Jet Li.

2 THE MASTER, Jet Li.

.3.PRIDATOR, Anord Komando John.

4. SALT Julie Robert.

5. THE ROCK. Rambo
 
1.THE ONE ya Jet Li.

2 THE MASTER, Jet Li.

.3.PRIDATOR, Anord Komando John.

4. SALT Julie Robert.

5. THE ROCK. Rambo

wewe wa juzi kumbe

sisi enzi zetu
sarafina
escape from sabibo
power rangers
nakadharika nakadharika
 
Zina nikumbusha zile enzi ambazo movie ziliitwa movie.
yaani unaangalia movie mpaka usiku unakuwa una weweseka tu.

1.THE ONE ya Jet Li.

2 THE MASTER, Jet Li.

.3.PRIDATOR, Anord Komando John.

4. SALT Julie Robert.

5. THE ROCK. Rambo
 
Kichwa cha habari kingesema kuanzia miaka,,,,, picha hizi unakumbuka nn lkn c kusema zamani kumbe wengine ndio tulikuwa tumeisha ona komandoo.John
 
mkuu hiyo namba 3 jana niliikumbuka sana ilibidi niitafute niiangalie. ile picha ya ARNORD NI KALI SANA WALIIGIZA KICHALECHALE. HUWA NAFURAHI PEKE YANGU NIKIANGALIA NA WALA HAIISHI HAMU KUITAZAMA
 
Movies ninazozikumbuka mimi ni
1. Dame msarabani au saibog macho ya paka
2. Anod ya jini
3. Anod ya jen
4. mniga analiwa na mambo
5. komando kipesi
6. dame marasta
7. matiasi kisima cha mamba
Hizi movie tulikuwa hatuzijui kwa kiingereza hivyo tukazitunga majini ya kiswahili. Kuna msemo ule wa son of bitch tulikuwa tunasema sala
mabechi. Hatari sana
 
Mkuu umenikumbusha mbali, kipindi hicho nipo home iringa Video unaenda Dulla au Vunjo trella picha la kihindi.
Hahaha kitambo sana.
 
Movies ninazozikumbuka mimi ni
1. Dame msarabani au saibog macho ya paka
2. Anod ya jini
3. Anod ya jen
4. mniga analiwa na mambo
5. komando kipesi
6. dame marasta
7. matiasi kisima cha mamba
Hizi movie tulikuwa hatuzijui kwa kiingereza hivyo tukazitunga majini ya kiswahili. Kuna msemo ule wa son of bitch tulikuwa tunasema sala
mabechi. Hatari sana

Kweli ni hatari mno kwa kweli.
 
dahhh!!!! pia nakumbuka,frank zagarno(najua nmechapia) mavet mavet sasa mmenichokoza,hapo baada ya kuuliwa demu wake.
 
Movies ninazozikumbuka mimi ni
1. Dame msarabani au saibog macho ya paka
2. Anod ya jini
3. Anod ya jen
4. mniga analiwa na mambo
5. komando kipesi
6. dame marasta
7. matiasi kisima cha mamba
Hizi movie tulikuwa hatuzijui kwa kiingereza hivyo tukazitunga majini ya kiswahili. Kuna msemo ule wa son of bitch tulikuwa tunasema sala
mabechi. Hatari sana

Hizo move kitambo sana enzi hizo kuziona ni video show na kama huwai uyona enzi hizo we ulikuwa waonekana wakuja kweri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom