Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

wote wa juzi kumbe. kitu ilikua "one down two to go" yupo fred,jim kely, jim brown.alafu inter the dragon kitu cha bruce lee na boro yang, bila kusahau never say never again kitu cha james bond. vile vile seven men amy. usipime tiketi za kuruka avalon.
 
Shaolin temple
American ninja ya michael dudicouf
Comando kipensi
Comando john
Kuna muvi hio moja ya kichina style ya ng'e na nyoka
 
wote wa juzi kumbe. kitu ilikua "one down two to go" yupo fred,jim kely, jim brown.alafu inter the dragon kitu cha bruce lee na boro yang, bila kusahau never say never again kitu cha james bond. vile vile seven men amy. usipime tiketi za kuruka avalon.

Wapi avalon kitu drivein cinema hiyo msasani pale zilipo ofisi za zantel na ubalozi malekani kipindi hicho hatuna kitu watoto wa kishua washajaa ndani sisi tunabaki kuangalia kivuli tu cha hiyo sinema tupo mtu kama mia hivi watoto wa mwananyamala na kinondoni watakuwa wamenipata vizurii nakumbuka likishaisha tunaludi kwa miguu makundi kwa makundi tunahadithiana ooh picha kali wkt hta sura hatujaona tumeishia kivuri tuu
Jamani tunetoka mbari saaana
 
Araf wakuu kuna movie moja ya kichina naitaka kujua jina lake ka yupo anayeifahamu hipo jamaa na dogo huyo wanaiba samaki araf katikati kuna kipande wanawekewa dawa ktk chakura ebwana ee wanavyopigana vikumbo chooni kuharisha hatari mwishomwisho jamaa anapata uchizi anapiga balaa baada kuona dogo kafa na familia yake sijui inaitwaje naitafuta sana
 
nimeipata ni sleeping first 1979
280415c12bb76a8e7f422eb73aae215e.jpg
f5a3a1bc49a4bf322626829e431a5a78.jpg
f70462f2d8d50845ef7e66a1c6802ebf.jpg
 
Dah mpaka nizione tena maana hatukuwa hata tunaangalia title ya movie, tulikuwa tunazibatiza wenyewe tu majina, eg Komando kipensi
 
Kuna jamaa aliect Ninja Squad, Ninja Hunter anaitwa Alexanda Lou!

Movie zake zilikuwa zina scene za mambo yetu, nilikuwa napenda sana movie za jamaa kwa sababu hiyo, maana umri ulikuwa hauniruhusu kuingia kwenye picha zenyewe zile.
karibu muvi zote za alexanda lou lazma agegede kiduchu
 
Kuna muvi moja ya kijesh flani hivi. kati ya scene ni pale stering alitekwa,mke wake akaiba funguo ya chumba alitekwa jamaa kwa kutumia kijiti alipitisha dirishani huku mlinz akiwa bizd na gazeti.

au pale mmoja wa mastar alitega godoro ukutani akalifunika kwa shuka.afu akavua viatu vyake na kuvipachika chn ya lile godoro.jambazi akajua yule ni mtu akamnyatia ili amchome kisu,kumbe star alijibanza sehemu akatumia janja ile kumuua jambazi.then akamkalia akavaa viatu vyake huyoo akasepa...Mnaikumbuka jina
 
Unanikumbusha mbali! Wakati comando john inang'ara kwetu kulikua hakuna tv! Lkn kuna mwanafunzi mwenzetu kwao tv ilikuepo! Alikua anasumbua sana shule na hadithi juu ya hizo muvi na coming to America ya eddie Murphy! Tulikua tunamzunguka kusikiliza anavotusimulia utamu wa hizo muvi! One day tulitoroka shule nusu ya darasa kwenda kwao kuzitizama! Kufika kwao hicho kiji tivii kiduuchu kama cha kwenye basi, pia kimejengewa ukutuani juu na magril na kufuli juu! Ufunguo hakuwa nao hadi atakapo rudi babake kazini! Tukaishia kupewa maji ya kunywa tukaondoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom