Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,939
- 46,690
Ukiwa na mzazi, ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu ambaye ni Mtumishi wa Umma au Mwanasiasa na ukaona live, kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii analalamikiwa labda kwa ufisadi, rushwa au kudhulumu haki za watu unaweza kuwa upande wa walalamikaji?