Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Nafiki kuanzia leo mtu mwenye ROHO MBAYA aitwe URIO .... This is not acceptable.

Halafu kumbe ulio mwenyewe ni form four tu ...... sasa huyu DCI alimuaminije kumuachia kesi kubwa kama hii. Hii nchi ya Chui Jike ni tabu kweli kweli.
 
Mambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
Ninafahamu na Nina uelewa mkubwa wapo dhama nzima ya upelelezi.
Kwa maelezo ya huyo urio hakuna upelelezi uliofanyika hapo sanasana Ni uongo na uchonganishi.
Huwezi kutumia uongo kutaka kuhalalisha ukweli.
Ushahidi wa urio unaonyesha dhahiri hii ni kesi ya uongo
 
Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Nafiki kuanzia leo mtu mwenye ROHO MBAYA aitwe URIO .... This is not acceptable.

Halafu kumbe ulio mwenyewe ni form four tu ...... sasa huyu DCI alimuaminije kumuachia kesi kubwa kama hii. Hii nchi ya Chui Jike ni tabu kweli kweli.
 
Tatizo kwenye hii nchi, kila mtu anajiona ana sifa ya kuitwa Msanii wa maigizo! Wenzetu wa nchi za ulimwengu wa kwanza na wa pili, watu wao wanaingia kabisa darasani kusomea fani ya uigizaji!

Ila huku kwetu mambo ni tofauti kabisa. Kila mtu anajiona ana sifa ya kutengeneza muvi! Na hawa polisi ndiyo vinara wa kutengeneza muvi za uongo, na mwisho wa siku wanawaumiza raia wasio na hatia.

Safari hii, wacha tu waumbuke na hii kesi yao ya mchongo. Na huyo Urio daima atabakia kuwa askari jeshi mjinga kabisa kuwahi kutumiwa na form four failures.
Uko Mtwara kuna Polisi kajinyonga na tambala la deki na kuzikwa haraka Iringa.

Ningekuwa ni mwanafamilia hiyo maiti ingefukuliwa na kufanyiwa postmortem huru ikishirikisha wanafamilia.
 
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Umeandika kitu exactly ya kama nilichoandika jana kwenye moja ya uzi...

Na hii ya kwako umeiongezea nyama zaidi na zaidi...

Maswali ya namna hii natarajia kina Kibatala wayaulize...

Hakuna namna ambayo Mbowe anheweza kuverify, askari mstaafu yuko...unless hao kina Ling'wenya wawe ni undercover na serikali imeamua kuwaficha
 
nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Wewe ndio unaongea kishabiki kwenye jurisprudence rule moja wapo ya ushahidi ni ukweli.
Kwenye ushahidi wa huyo urio uongo unaonekana dhahiri kwenye kuwaajiri hao wanajeshi waliofukuzwa.
Kwa maelezo ya urio alielekezwa na mbowe aajiri magaidi, yeye akaenda kuajiri vijana raia wema walioachishwa kazi jeshini wakiwa wanajishughulisha na shughuli nyingine halali akawadanganya kuna kazi ya ulinzi ubodyguard.
Vijana wa watu wakakubali kwenda kufanya ubody guard baadae wanakamatwa eti wanafanya ugaidi halafu upuudhi unaanzia pale huyu mpumbavu mshenzi tena atakuwa afirwa shetani mkubwa urio anaibuka mahakamani kutoa ushahidi wa uongo namna hi I.
Kwamba urio alikuwa anajua mbowe anataka magaidi.
Urio akaenda kunuajiria mbowe vijana raia wema akawadanganya mbowe anataka walinzi
Vijana hao wakakubali kwenda kufanya kazi hiyo ya ulinzi
Halafu huyuhuyu urio ambaye alikuwa anajua mbowe anahitaji magaidi anakuja kuwatolea ushahidi vijana ambao aliwadanganya kwamba mbowe anataka walinzi.
Embu tafakari ukweli huu.
Jamani mahakama huu uongo wa urio unastahili kufanya maamuzi ya kuitupilia mbali hii kesi ya uongo
 
Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna

Urio ndio anatakiwa afungwe kwa kuwadanganya na kuwapotezea mda hao wanajeshi waliotimuliwa jeshini
 
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.

Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)

Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia

Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.

Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.

Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa

WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Aliyewatuma kuchonga kesi hii ndiye mpumbavu zaidi, kahaba mkuu
 
Mbowe anaanzaje kutafuta makomandoo bila kutiliwa mashaka? hawa watu hata kama wako mitaani, wanafuatiliwa sana. Kuna wakati nahisi kujiamini sana au kutojua mambo yanavyokwenda, kumetoa nafasi ya Mwenyekiti kupewa shuruba anazopata.
Askari wengi hawa wana viapo...unawaaminije kirahisi rahisi tu, tena kwa kutafutana wao kwa wao, kama vile unatafuta waosha magari au vinyozi wa saloon mpya?
 
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.

Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)

Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia

Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.

Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.

Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa

WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Hawa vijana tuwawezeshe ili waweze kumshitaki Urio jeshi la polisi kwa mateso waliowatia bila sababu. (kwa ushahidi wa Urio)

”Muoosha uoshwa ”
Mzee Mbowe sio GAIDI
 
Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Nilichoelewa ni kwamba bwn Urio naye ameunganishwa tu kwenye huu ushahidi ila naye alikuwa kwenye mateso sawasawa na wakina Ling'wenya ila hawa wakina Kingai wamem-coach ili awe shahidi upande wa serikali ili awe salama.Hapo ni kwamba anataka kujinasua yeye mwenyewe.
 
nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Urio atakuwa wapi wakati Mbowe anafungwa? Kwa jinsi alivyojieleza mahakamani yeye ndiye gaidi namba moja aliyejificha nyuma ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom