Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,145
6,364
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.

Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)

Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia

Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.

Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.

Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa

WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
 
Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
 
Tatizo kwenye hii nchi, kila mtu anajiona ana sifa ya kuitwa Msanii wa maigizo! Wenzetu wa nchi za ulimwengu wa kwanza na wa pili, watu wao wanaingia kabisa darasani kusomea fani ya uigizaji!

Ila huku kwetu mambo ni tofauti kabisa. Kila mtu anajiona ana sifa ya kutengeneza muvi! Na hawa polisi ndiyo vinara wa kutengeneza muvi za uongo, na mwisho wa siku wanawaumiza raia wasio na hatia.

Safari hii, wacha tu waumbuke na hii kesi yao ya mchongo. Na huyo Urio daima atabakia kuwa askari jeshi mjinga kabisa kuwahi kutumiwa na form four failures.
 
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.

Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)

Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia

Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.

Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.

Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.

Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetenenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa

WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Shahidi wa 12 kaua ushahidi wa watu 11
 
Kama ni mtego mbowe kajaa.
 
Mambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
 
Mapunguani na mapumbavu ni mengi kama nyumbu wa Serengeti.
Hata ukiamua kuyaangamiza hutayamaliza kirahisi.
 
Back
Top Bottom