Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Mbona majina yenyewe hayana index numbers halafu mpangilio wenyewe uko rafu ki hivyo? Msiwachezee watoto nyie wana JF
 
Hivi inakuwaje mtu hajaomba chuo flani wana mpeleka huko?
mdogo wangu kasoma CBG, wanampeleka IFM?.
NAOMBA MUONGOZO

mdogo wako ndiye aliyeichagua IFM. Kusoma CBG sio kigezo cha kupata chuo unacho kipenda, lakini inategemea na ushindani wa kozi husika.
 
kuna ndugu yangu amenipa username yake na pasword yake nimuangalizie matokeo nimeingia kumuangalizia katika admission status nmekuta not yet processed
 
kuna ndugu yangu amenipa username yake na pasword yake nimuangalizie matokeo nimeingia kumuangalizia katika admission status nmekuta not yet processed. hii inamaanisha nini.? na katika list ya wasiochaguliwa jina lake halipo halikadhalika katika list ya waliomiss kujaza info zao jina lake halipo. msaada please.
 
kaka unatumia browser gani? Kama ni internet explorer ndo inadanganya hvyo. Tumia firefox au opera mini utapata ukweli.
 
Back
Top Bottom