Ukimya wake una maana gani??

habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au ndo mie nichanganye za kuambiwa pamoja na zangu?

wenzako siku hizi hatuachi wanawake huwa tunawaweka pending siku tukiwa na hamu tunawarudia, mwanamke haachwi utakosa hazina, mi nina mademu wangu wa tangu primary hatujagombana siku nikikutana nao nakumbushia tu loooooooooooooool!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu umepiga ikulu kwa mawe, ona wahusika walivyokujia juu na nnadhani jibu umelipata. Wenzio wakichoka wanapotezea kimya kimya ili siku 'ukikwama' unarudi kukumbushia enzi. Hiyo style yako ya kibuti ni ya woga sana na haifai kutumiwa na mwanaume. Inawezekana huyo demu ulitongozewa hukumpata kwa kumuimbia wimbo kwa kinywa chao mkuu!

Jifunze ktk hilo!

point taken mkuu.
 
Kwa ufupi hata kama hukutwambia kwanini uliamua hivyo, kumwacha, ila inaonesha ulikuja kugundua kwamba hana mapenzi nawe ndo kisa ukaamua kumtumia txt ile.Ulichelewa sana , ulishaachwa muda mreeeeeeeeeeeefu kaka na huyo demu.Umemtua mzigo ulokuwa umemwelemea.Ila ni wazi najua hali uliyomo na nakushauri uivumilie itaisha tu kwa maana ukithubutu kumpigia simu itakuwa umeuza utu sana.
 
Habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au ndo mie nichanganye za kuambiwa pamoja na zangu?

kwani text ilikuwa na kiulizo?
 
lol, umempiga chura teke hajaumia,umempunguzia safari. naye alikua anakulia timing jinsi ya kukubutua. kombolela raha sana,lol
pole senetor.

Habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au ndo mie nichanganye za kuambiwa pamoja na zangu?
 
hongera sana mkuu. sasa ushauri wa bure, hakikisha unatembea na condom kwenye wallet,manake sasa hivi tunabadilisha maongezi. wape hongera na hao penders (nadhani ni inglish ya walio pending)
wenzako siku hizi hatuachi wanawake huwa tunawaweka pending siku tukiwa na hamu tunawarudia, mwanamke haachwi utakosa hazina, mi nina mademu wangu wa tangu primary hatujagombana siku nikikutana nao nakumbushia tu loooooooooooooool!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
baelezee baelewe mamaa ya makarveli! siku hizi hata mtu akichuna wiki tu ukimcheki akakujibu mzima inakua ndo ntolee. ya nini kumghasi mtoto wa mwanamke mwenzio! hawa wanajiskia kama wao ndo wanatupa pumzi!
afu kama nimekumisi vile, usipotee sana tafadhali
Pole we limekuchoma???????????????????????????? wanawake hatubabaishiki hovyo siku hizi. Msg yake inaeleweka we ulitaka mdada afanyaje
 
Wewe nawe sasa ulikuwa unatingisha kiberiti?ulidhani atakupigia na kukulilia kwa kukubembeleza?ukiona kimya ujue ameafikiana na wewe muachane,tena hataki hata kupoteza pesa yake kwa kukupigia simu.
 
dah..sasa wewe si ulimpatia ujumbe. ameuelewa na ametekeleza kama ulivyopendekeza....au ulikuwa unamjaribu uone atachukuliaje uamuzi wako, usiijaribu sumu kwa kuilamba kijana......yaan huna lako tena wewe ameshaanza ustaarabu mwingine na tayari anamtu mwingine kwani ulishamruhusu afanye hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom