ThisIsIt
Member
- Oct 4, 2022
- 31
- 63
Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari na wengine wameshapata placements tayari.
Juzi niliamua kuwapigia Sekretarieti ya ajira kuuliza kuhusu ucheleweshaji wao kuita watu kwenye saili na kuwapa ushauri waweke kipengele cha EXPECTED DATE ya kufanya usaili kuliko kufanya vitu kama sio professionals nilijibiwa vibaya sina hamu😩😩
Mtaani pagumu😪😩😩