Ukimsikiliza Prof. Mruma kule Mahakamani utakubaliana na Prof. Mbarawa kwamba kwa sasa Watanzania hawawezi kuendesha Bandari!

Watu wetu wapo pale kwa perdiem tu, wanafahamu hawana shauri la kushinda pale.

Ni heri hizi kesi, tungekubali yaishe, tukalipa tunachodaiwa, tulilikoroga wenyewe. Kuliko kuongeza gharama kwa kupeleka wajinga huko.

Hapa ndipo kina Marehem Mkono walipokuwa wanapiga pesa zao na kesi wanamaliza mapema, wanatafuta nyingine.

Mwendazake akapiga marufuku wanasheria wote wa mikataba, sasa ndiyo wanasheria wetu wameenda timu nzima, Mruma hapo ni shahidi tu. Timu ya Watanzania kwa umri wake na elimu yake "profesa" wakamfanya ndiye mkubwa wa delegation. Hilo tu linaonesha ni wanasheria wabovu.

masuala ya kisheria unampaje ambae siyo mwanasheria kuwa head wa timu wa kujibu?

Ujinga mtupu mpaka sasa. Nipo clip ya kwanza sijaimaliza. Siyo ile iliyowekwa humu mwanzo.
Kidg una hoja hapa kwingine unapuyanga
 
Serikali isiupeleke huu utumbo tena. Ni heri wakodishe mawakili wa wa Kimataifa wa huko huko au kama wapo Private hapa Tanzania.

Hay ni mabomu tu.
Sasa wakija kitupiga Tena Kama kina mkono na Kisha tulipe mafaini si hatari hii
 
Nimesikiliza, waliokwenda wote, wawe wanajuwa au hawajuwi hawana makosa. Makosa yalifanywa na aliyejimwambafai kubadili sheria za madini wakati tayari kuna makampuni tuna mikataba nao kwa sheria za awali.

AlhamduliLlah, hii inanifanya niamini kuwa kazi ya Mwenyezi Mungu haina makosa.

Pia hapo tumejionea kuwa timu iliyopo kama mashahidi, mikataba ya awali hawakuwepo.

Pia kuna tatizo kubwa la administration za wizara na idara zake.

Hapo wote walikuwa wanahesabu perdiem zao na travel allowances.

If such are the priests, God bless the congregation.
Sasa FaizaFoxy ndiyo muone hiki cheo namba moja ni tatizo. Huyo alijimwambafai. Huyu anafanya Je kuhusu Dp world . Hiki cheo kiwekewe break angalau (check & balance)

Kipindi huyo anajimwambafai kila mtu alikuwa anamshangilia. Leo consequences. Huyu hasiki la mwadhini wala mnadi swala mradi afurahishe wajombo. Then .......
 
Alaaniwe aliyabadili sheria za madini ghaafla na kujimwabafai na kutuaminisha kuwa tunaibiwa, na kuwaona wenzake waliomtangulia wote wajinga.

Kazi ya mungu haina makosa.
Nahapo ndio tuwe makini nahii miswada ya kibadili sheriya za uwekezaji yasitukute kama haya
 
Alaaniwe aliyekifanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia. Kwa kutumia kiswahili kama lugha ya kufundishia hapo ndio tulipoteza jumla.
Sasa mkuu kwani huyo profesa Mruma kwanini asingeongea kiswahili tu, mfano angekuwa Mchina au Mjerumani wangeongea Kiingereza?
 
Prof. Mbarawa amesema Watanzania pale Bandarini hawana uwezo wa kuendesha Bandari ni wazembe na wala Rushwa.

Sasa Walimu wa Vyuo vikuu ndio hawa na waliofaulu kwa First class pale UDSM The Hill ndio hawa Akina Mwijaku 😄😄 ila Watu wanaroga jamani

Kwa Elimu hii utategemea nini?!!😂😂

Niishie hapo!
View attachment 2698406
CCM hawawezi kuendesha Bandari lakini sisi Watanzania tunaweza.

Prof Mbarawa na Prof. Mruma wote CCM
Wewe ni CCM, Hayati Magufuli alikuwa CCM, Mh. Kikwete ni CCM
Rais wa sasa Samia ni CCM, Prof. Mhongo ni CCM, Mzee Kinana na Makamba wote ni CCM....
Sasa unasemaje Watanzania kwa ujumla wetu tumeshindwa? Hapana! CCM ndio imeshindwa.

CCM imefanya hata taasisi kama PCCB, TISS kuwa useless na hopeless. Hazina faida kwa nchi - ila nawapongeza individuals wachahe makini walioko kwenye CCM wanaotusaidia kupata hizi taarifa, hao ni wazalendo na tuko nao. Hao sio CCM.

Sasa basi Joni, kaeni pembeni sisi tufanye kazi muone jinsi mlivyopoteza muda na rasilimali za nchi miaka yote. Just 10yrs na Tanzania itaingia kwa kishindo kwenye uchumi wa Kati (Middle Income Countries).
 
Nimesikiliza, waliokwenda wote, wawe wanajuwa au hawajuwi hawana makosa. Makosa yalifanywa na aliyejimwambafai kubadili sheria za madini wakati tayari kuna makampuni tuna mikataba nao kwa sheria za awali.

AlhamduliLlah, hii inanifanya niamini kuwa kazi ya Mwenyezi Mungu haina makosa.

Pia hapo tumejionea kuwa timu iliyopo kama mashahidi, mikataba ya awali hawakuwepo.

Pia kuna tatizo kubwa la administration za wizara na idara zake.

Hapo wote walikuwa wanahesabu perdiem zao na travel allowances.

If such are the priests, God bless the congregation.
Umeshazeeka hadi akili. Rest please. Sijawahi kuona chawa mzee
 
Sasa mkuu kwani huyo profesa Mruma kwanini asingeongea kiswahili tu, mfano angekuwa Mchina au Mjerumani wangeongea Kiingereza?
Anajifanya anajua kiingereza, hao watoto wakaanza kumuongelesha kiingereza chenye accent ya kiscostish, professor akapotea. Kwa kiingereza cha tuition huwezi kutoboa kwa watu ambao hawajawahi kuongea lugha nyingine zaidi ya hicho kiingereza.

Ukweli ni kuwa hayo mambo ya kimataifa yanayohita kiingereza, ni bora serikali iwaachie watu wa sekta binafsi, lakini kwa kiingereza cha watu wa serikalini itaendelea kuwa aibu.
 
Hayo yote yanahusiana nini na kesi iliyoletwa hapa tuione.

Mimi nipo video clip namba 1 naona anasasambuliwa Doctor mwendazake. hi
Mwulize Profesa Mruma yaliyomkuta huko hadi kukejeliwa kuwa wewe profesa ndiyovyo unavyofundisha wanafunzi wako.
 
Mwulize Profesa Mruma yaliyomkuta huko hadi kukejeliwa kuwa wewe profesa ndiyovyo unavyofundisha wanafunzi wako.
Yule aliyesema hayo ni mwanashasheria, Mruma siyo mwanasheria, na ile mbinu ilimsaidia sana yule mwanasheria. Tatizo hapo ni wanasheria wetu, walitakiwa wawe pembeni yake wakimwambia, hiyo ni mbinu tu ya wanasheria, wewe jibu maswali yanayohusu tu. Pale ilitakiwa Mwanasheria amfundishe Mrumo kusema neno moja tu "irrelevant", ungeona mwanasheria anavyo panic.

Mabomu ni wanasheria wetu.
 
Mwanahsriea angejua kuwa anaongea na Bwana Kichuguu au Mama Faiza Foxy asingefanya maandalizi ya kutisha na hata approach yake haingekuwa targetted na aggressive. Alipoambiwa mbele yako ni Profesa Kichuguu au Dr Faiza Foxy akawa na maandalizi makubwa na approach ambayo ilituabisha sana alipogundua kuwa Kichuguu ni kichuguu tu, na Faiza Foxy hupenda kujihihifadhi kwanye kichuguu hicho hicho tu.
 
Sasa mkuu kwani huyo profesa Mruma kwanini asingeongea kiswahili tu, mfano angekuwa Mchina au Mjerumani wangeongea Kiingereza?

Even mchiba au mjerumani anaongea englishi kwenye internatinal field. Si lugha zao full time. Lakini pia hapa huyo prof hata angeongea lugha ya kikwao

Still anaonyesha ana lack of understanding, hakujiandaa mwishowe kawa exposed. Na hii ndio elimu yetu
 
Back
Top Bottom