dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,637
- 16,324
Kidg una hoja hapa kwingine unapuyangaWatu wetu wapo pale kwa perdiem tu, wanafahamu hawana shauri la kushinda pale.
Ni heri hizi kesi, tungekubali yaishe, tukalipa tunachodaiwa, tulilikoroga wenyewe. Kuliko kuongeza gharama kwa kupeleka wajinga huko.
Hapa ndipo kina Marehem Mkono walipokuwa wanapiga pesa zao na kesi wanamaliza mapema, wanatafuta nyingine.
Mwendazake akapiga marufuku wanasheria wote wa mikataba, sasa ndiyo wanasheria wetu wameenda timu nzima, Mruma hapo ni shahidi tu. Timu ya Watanzania kwa umri wake na elimu yake "profesa" wakamfanya ndiye mkubwa wa delegation. Hilo tu linaonesha ni wanasheria wabovu.
masuala ya kisheria unampaje ambae siyo mwanasheria kuwa head wa timu wa kujibu?
Ujinga mtupu mpaka sasa. Nipo clip ya kwanza sijaimaliza. Siyo ile iliyowekwa humu mwanzo.