babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,112
- 16,016
yaani wewe uko km mimi huyu demu unampiga bonge la sign kisha unatokomea vibaya sana,kulinda heshima.Alafu hommie bahati ka izi cjui mie zinanipitia wapi! Yaani unakimbia mbunye ivi ivi!
yah mambo kama hayo jiandae nayo we utakimbiaje nyuchi bana,tena mda si mrefu atakutangazia we bwabwa.:help:Bwa bwa bwaaaaaaaaaaaaaaaa! Kha mie mshamba ndo sms alonitumia sasa hivi. Kasema washamba ambao wamekulia mgombani ndivyo walivyo. Eti hajui naringia nini! lol