Ukimdate mtu ni laziama mka...

Jamaa ana msimamo kweli, wengine siku ya kwanza tu wangemega bila ya kujali kama wana familia au la!
 
Duh...! Pole kwa sababu naona hiyo ni changamoto kweli. Lakini mara nyingine sisi wenyewe tunawasihi hawa watu (wanawake) wawe wazi, na ujasiri kwa kila watakacho juu ya hisia zao...! Lakini pia wanapotokea mmoja mmoja wa aina hiyo, harakaharaka tunawatafsiri vibaya kihivyo...! Hivyo, tuelewe tu kuwa nao sasa wana haki ya kuexpress themselves as such...! Aidha, kwa jinsi nilivyokuelewa na msimamo wako, mimi nakushauri kama ifuatavyo:

  1. Kwanza mpeleke sehemu tulivu, iliyowazi, lakini pia isiwe mbali na makazi yako.
  2. Then umuoneshe kumuelewa, na ku-appreciate ujasiri wake.
  3. By using a polite language, mjulishe kuwa una familia na ajue vema kuhusu mipango yako kwenye maisha. (kuwa huna nafasi kwa hayo, na haitakuwepo)
  4. Ukiona king'ang'anizi zaidi, waweza kumpa changamoto kuwa "you are HIV+, na uko unatumia ARV for your survival". By doing this, huenda ukamsoma vema na kufahamu masalahi yake juu ya hilo.
 
Konakali
Ushauri wako ni mzuri sana kama Mangi angefanya mapema!!
Kwa walipofikia sasa ni misonyo, kashfa, dharau na chuki kali.....
 
Konakali
Ushauri wako ni mzuri sana kama Mangi angefanya mapema!!
Kwa walipofikia sasa ni misonyo, kashfa, dharau na chuki kali.....

Sasa anaweza kumfuata na kumchapa changa la macho kuwa alikuwa anamtikisa ili ajue seriousness yake...! Bila shaka baada ya muda huenda akamrejesha kwenye mood ya awali...! Hatimaye baada ya hapo, anaanza kufuata ushauri huo tena as from the root..! Ila ieleweke kuwa hili sio zoezi la siku moja, bali huenda hata likachukua siku 3, 4 .... au hata wiki.
 
Wandungu habari za weekend!
Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi yake iko jengo moja niliko na ofisi) Kwa takribani mwezi sasa alikuwa mchangamfu sana kwangu. Last week on saturday akanikaribisha chakula cha mchana. Nikaenda kwa sababu sikuona ubaya. Akanipitia na gari yake. We had a very good lunch. On monday morning she pass by my office and say hi! Well sikuona mbaya. From that day haishi kutaka kwenda ama luch au dinner au kinywaji na mimi! Jana kanikuta corner na jamaa zangu tunakunywa na kula. Kajichanganya na company. Baada ya mvinyo kidogo kaniambia wazi ananipenda na anataka tukamege tunda jana hiyo. Nilitumia akili ya ziada kumtoroka. Gari ilibidi niiache nitoroke na TAXI. Leo saa hii kaja kafura ka nini! Kaniangalia kwa jicho kali hilo sijapata kuona akaondoka zake. Sasa najiuliza kwani lazima kudinyana na damu au man mkipeana lunch sijui dinner ama kilauri?
Huyo mwanamke atakuwa mbaya lazima
 
unaona hapo...watu tunatofautiana kabisa, mie hapo nicngekuelewa kirahic...wakati mwingine nahicgi nampa msukuma wakati mgumu lakini ndivyo nilivyo, cjui niseme ni wivu sana.

Jamani jamani maisha ya muda huu yakuchezea watu kama hao nikuwa nao macho sn, HIV/AIDS anaona kama ugonjwa wa mafua lkn kweli mwisho nikilio kikuu kwa amilia zetu
 
Dunia ya kisasa hii, kaka ungemwambia isije ikawa anaona kama vile unamdengulia huku akitarajia kuwa siku utamkubali pole kaka kwa maswaibu hayo, ila mdada ana ujasiri kweli ameamua kuuvunja ukimya ameona hakuna dalili yoyote ya kutakwa. si kwako kaka hata kwa wengine yatokea sana tu ila tu hawajaweka hadharani masuala yao. msimamo ni wa muhimu katika hili
 
sasa na wewe una familia ukaenda nae lunch sijui mara dinner mara sijui kitu gani cha nini? kama si kutafuta shari?

mkeo alijua kama umeenda nae lunch na dinner?

Kajitafutia mwenyewe mambo hayaaaa!!!!, Katafuta shariiiii mwenyewe!!
 
Duh yaani kapanya kanajileta na kusema can you eat me mr Pussycat halafu nikakatae na naona kamshikaki kamenona nako nikakatae?
Ama kweli mchagua jembe si mkulima na mkataa, k..a si m..mb.ji
 
yaani wewe ndio unajidai kutuingiza mjini. sisi pia tushaishi mjini vilevile. upewe lunch, dinner na kilauri juuu wapi na wapi? in maana mlikuwa mnaangaliana tu muda wooote
acha kutuzugu wewe:confused2::confused2::confused2::confused2: sikuelewi kabisa!!
 
Kwanza title na contents vinapishana ndio maana sikuona umuhimu wa kuingia humu. Pili wanawake muone ugumu wa kuanzisha mahusiano ya kingono. Hiyo sampuli moja inawakilisha hali halisi ya wanawake wengi. Kisa we mwanamke basi hakuna kukataliwa. Pia yaelekea huyo mdada hana mvuto wa kutosha ama nampongeza mtoa mada kwa udibiti
 
Back
Top Bottom