Ukimdate mtu ni laziama mka...

Ni lazima!

Yaani ndugu yangu umeachia kitu imekuja yenyewe asee? Kweli tumeumbwa tofauti. Hebu nirushie contacts zake tafadhali.:love:
Alafu hommie bahati ka izi cjui mie zinanipitia wapi! Yaani unakimbia mbunye ivi ivi!
 
wewe ungesikia mkeo kaja kuchukuliwa lunch na jamaa wakaenda sehemu kwa gari ya jamaa ungejiskiaje?
 
ma bro mangi! lyfe la sasa hivi sio la kuaminika kihivyo, kwangu wacwac lazima aisee ukiangalia vishawishi vyenyewe ndio kama hivyo kwa kuwa nakupoenda lazima niwe na wac wac jamani, sasa wachana na huyo binti kabisa, no lunch no dinner..promic?

There you are Nyamayao! Yaani naona kuna cku atanibaka. Itakuwa mazoea ya lunch cjui nini mara karibu nyumbani,,,, mwisho napiga kelele kama hutaki. Demu ana ka miezi sita tangu arejee toka UK masomoni. Nakushukuru sana Nyamayao kwa ushauri
 
labda mie nipo tufauti, msukuma akinielezeaga ishu kama hizi ndio kanipa tiketi ya ku spy sasa, yaani ndani ya cku mbili huyo mdada ningeshamjua vizuri, sasa nakucheki wewe kama ulichokiongelea ni kweli au laa, cjui kwa mama Eeka kama ni hivyo...wengi wetu ndio huwa tiketi ya ku spy hiyo...sasa uteleze uone.
 
Eeka ..............wanawake waloishi mamtoni ogopa....kumtokea mtu hawaoni deal kwa sababu huko nje ni kawaida tu.

sasa wewe unapiga story za urafiki yeye anafikiri namna mtakavyo match kwenye sita kwa sita.........eeeewww
 
wewe ungesikia mkeo kaja kuchukuliwa lunch na jamaa wakaenda sehemu kwa gari ya jamaa ungejiskiaje?

Kama kanipa taarifa kuwa anaenda lunch na rafiki zangu hamna tatizo. Kwa taarifa tu mke wangu yuko jirani na ofisini kwangu pia. Na moja ya siku hizo alikuwepo kwenye lunch na huyo demu na mimi. Anajua kinachoendelea haikuwa SIRI na sikuwa na lengo lolote.
 
Eeka ..............wanawake waloishi mamtoni ogopa....kumtokea mtu hawaoni deal kwa sababu huko nje ni kawaida tu.

sasa wewe unapiga story za urafiki yeye anafikiri namna mtakavyo match kwenye sita kwa sita......
...eeeewww

imagine....bora bac hayo mawazo ageyapeleka kwa cngle mwenzie, sasa unapeleka kwa mtu alieoa unajua kabisa hapo ni kuunjwa na kuachwa lakini bado unang'ang'ana tu...wanawake wengine akili zao czielewi kabsa.
 
Kama kanipa taarifa kuwa anaenda lunch na rafiki zangu hamna tatizo. Kwa taarifa tu mke wangu yuko jirani na ofisini kwangu pia. Na moja ya siku hizo alikuwepo kwenye lunch na huyo demu na mimi. Anajua kinachoendelea haikuwa SIRI na sikuwa na lengo lolote.
Kama lunch hakuwa na tatizo,je ulivyokwenda dinner alikuwa anajua?
 
nyamayao ..............wanawake wengine hawana self respect ndio tatizo lao kubwa.
 
Bwa bwa bwaaaaaaaaaaaaaaaa! Kha mie mshamba ndo sms alonitumia sasa hivi. Kasema washamba ambao wamekulia mgombani ndivyo walivyo. Eti hajui naringia nini! lol
 
Bwa bwa bwaaaaaaaaaaaaaaaa! Kha mie mshamba ndo sms alonitumia sasa hivi. Kasema washamba ambao wamekulia mgombani ndivyo walivyo. Eti hajui naringia nini! lol

ahaha kwani hujakulia mgombani? :love:

huyu dada mie nilijua ameisoma vizuri phylosophy ya ulaya/marekani ya kumtokea mtu...............akikutosa unaachana nae tu, unatafuta mwengine kumbe hata huo 'uzungu wa kulazimishia' hakuupata

au labda mwenzetu ni super hunk! :spy:
 
Kama lunch hakuwa na tatizo,je ulivyokwenda dinner alikuwa anajua?

Nilimwambia kuwa naenda dinner na friends na hana doubt na hilo hata kidogo. Nyamachoma na bia kidogo huku north kitu cha kawaida kabisa mkuu. Mara nyingi tunakuwa na wapwas na wajombas na binamus. Hatuna shida kabisa. Kuna wakati tunaenda camping mbali na town. Ni uamuzi wa mtu kwenda hata kama mkeo haendi lakini anajua kuwa manenda na nani na nani. Ni heshima tu. Kuheshimiana basi!
 
Tatizo letu ndo hilo. Je wewe nikikukuta na mwanaume kwenye gari ni hawara yako? Tufunguke akili na tusihukumu Nyamayao!
kwani hujawahi toka nje ya uwanja wako hata mara moja?au huyu kuna kasoro uliyogundua ndo unamwanika hapa mbona hao wengine hujatuanikia hapa.subiri akikubaka njoo hapa umshtaki tumchape viboko
 
ahaha kwani hujakulia mgombani? :love:

huyu dada mie nilijua ameisoma vizuri phylosophy ya ulaya/marekani ya kumtokea mtu...............akikutosa unaachana nae tu, unatafuta mwengine kumbe hata huo 'uzungu wa kulazimishia' hakuupata

au labda mwenzetu ni super hunk! :spy:

Labda bado huo uzungu hakuunyaka mkuu. Labda alichanganya mazungumzo na utani tunaoukuwaga nao anaona kuwa hawa ndo walivyo. Kaloba step kwelikweli.
 
kwani hujawahi toka nje ya uwanja wako hata mara moja?au huyu kuna kasoro uliyogundua ndo unamwanika hapa mbona hao wengine hujatuanikia hapa.subiri akikubaka njoo hapa umshtaki tumchape viboko

Ngala unajua kila mtu anatest yake. Kwa taarifa tu ni kuwa niliwahi toka mara moja na I felt very guilty. Nilikosa amani sana na I was just the earliest time of our new life with mama Mangi. Tangu wakati huo nina kinyaa mbaya kabisa tena zaidi ninapogundua kuwa huyu manzi anamegwa na fulani ndo jamaa hasimami kabisa. I do agree that there is temptation here and there lakini kikubwa ni kushinda vishawishi mkuu.
 
Mmmmmmhh. andelea kusema NO sir
Dunia imeota mbigili baba. say no mpaka mwisho:A S-key:
 
Anasema alikimbia akaacha gari huo ni udhaifu uliokikithiri ina maana kama angeshindwa kukimbia au kumtoroka basi angemuhudumia haja yake. Cant u stand up firm like a man and luk at her face n say NO? mkeo alivyokuona umerudi bila gari alisemaje? au ulimdanganyaje?

Mimi aliwahi kunisumbua sana dada 1 alihitajigi ushauri wa mambo ya mazeozi nikamsaidia alihitaji namna ya kupunguza unene na kweli mwili wake ukapungua basi akadai anataka kunishukuru siku moja akanitamkia kwamba I may request whatever nikamtolea macho makali nikamwambia aah kumbe basi nipe hapa hapa na ilikuwa mbele ya watu na nikamsogelea kama vile kweli nataka kumvua nguo tangu siku hio mpaka leo heshima simtank
 
Mangi unamkimbia mwanamke? hapo ungesimama imara tu ukamtolea uvivu kwa kutokuheshimu status yako kisha unamwacha hapo ajiulize maswali.
 
Back
Top Bottom