Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,424
wengi wetu tunamtazamo kama wako lakini swali ambalo halina majibu kama kuchunguzana kungelikuwa kunasaidia mbona baada ya kumkubali yule uliyekuwa unamchunguza...............baadaye waanza kulalama ya kuwa laiti ungelijua kuwa atakubadilihia gia kinamna ungelimkataa.....................kiujumla si rahisi kumjua mwanadamu na ndiyo maana Jeremeiah 17:9 inatuuliza maswali ya kimsingi.............."The human heart is deceitful above all things and desperately wicked; Who can know it?"
kama umempenda mwenzio basi fuata roho yako acha mambo yake ya kale.................yawe mazuri au la.............yote yaweza kurekebishika................kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu............................na ndiyo maana waswahili husema "Kipya kinyemi ingawa kidonda".......................na wengine hulonga "Mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika."
Kwasababu tu hatuna uhakika kwamba tutakuwa hai miaka miwili ijayo haina maana tusijenge wala tusiweke akiba. Kwasababu tu hatujui kama kama tutafaulu mitihani ya mwisho haina maana tuache kwenda shule.
Ikitokea hivyo utakua umejifunza kitu, na ni bora ukawa mwangalifu ukose cha kulaumu ukianguka kuliko kuwa mzembe baadae kuwe na " laiti ningejua " nyingi kupitiliza.