Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!

Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!

Mkuu naona anataka kuchafua hapa kuwa dingi yake ni kidume aliyemleta duniani
Hajui kuwa huyo dingi yake na baba wa dingi yake na baba wa huyo dingi walianzia wapi
Creation ilianzia kutoka Adam pamoja na kuwa na mbegu ila kama sio Adamu huu ulimwengu ungekuwa ukiwa tuu
 
Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!

Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!

Babu ODM usiogope bana. Mimi sina majotroo wala utratraaaa. Hapa tunauliza maswali ya msingi tu. Wewe si umeamua kumzungumzia mungu kwenye MMU….acha basi tumjadili.
 
Mdingi wangu alitengenezwa na mdingi wake na mdingi wa mdingi wake naye alitengenezwa na mdingi wake. Huyo Adam hatumjui sisi. Tujuacho ni masimulizi tu juu yake. Nadhani anatumika kwenye masimulizi kuwakilisha nafasi ya mwanaume katika uzazi.

Binafsi sidhani kama alikuwa ni mtu wa kweli kama mimi na wewe kwa sababu hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Kama huyo Adam alikuwa mtu wa kweli, alikuwa ni mtu wa sili gani? Alikuwa Muasia, Mwafrika mweusi, Mwarabu, Mzungu blonde, au?

Wewe unaamini alikuwepo babu wa babu wa babu wa babu wa babui wa babu wa babu wa babu yako
Kwani ushawahi kumuona
Na nani alikuambia kuwa alikuwepo au alishaexist
na hilo halina ushahidi wa kulishika ila unaamini tuu kuwa huyo babu yako wa kizazi cha kumi alikuwepo ambaye ndio chanzo cha mdingi wako wa sasa
 
Ningemuuliza kwanini hiki kizee kiasprin kipo hivi.... Babu we ni kizee, lizee,mzee au lijizee?
 
Wewe unaamini alikuwepo babu wa babu wa babu wa babu wa babui wa babu wa babu wa babu yako
Kwani ushawahi kumuona
Na nani alikuambia kuwa alikuwepo au alishaexist
na hilo halina ushahidi wa kulishika ila unaamini tuu kuwa huyo babu yako wa kizazi cha kumi alikuwepo ambaye ndio chanzo cha mdingi wako wa sasa

Huwezi ukawajua ancestors wako wote kurudi nyuma. That is humanly impossible. Utarudi nyuma lakini itafikia pahala utagota.
 
Huwezi ukawajua ancestors wako wote kurudi nyuma. That is humanly impossible. Utarudi nyuma lakini itafikia pahala utagota.

Ok ok just believe the same way you believe that there are several ancestors before your father
Tusiingie sana huko Ally tukaharibu maana au theme ya hii thread
 
Ok ok just believe the same way you believe that there are several ancestors before your father
Tusiingie sana huko Ally tukaharibu maana au theme ya hii thread

I am not here to proselytize anybody. I am here to ask questions as the topic asks. Am I wrong in doing that? Are there questions that are off-limits? If so, why?
 
Haya bana naona kumbe maswali mengine hayaruhusiwi hapa. Kwaherini.

Wewe nahisi unataka kwenda kwa kina zaidi ili hata uthibitishe hata ukweli wa uwepo wa huyo Mungu...sasa hicho nadhani kinawafanya wengine wawe uncomfortable, hasa ukizingatia mleta thread inaelekea kabisa yeye ni muumini, lakini pamoja na hilo basi akatamni tu siku akiumuona huyo Mungu wake basi atakuwa na maswali....

na mwitikio wa wengi umekuwa kwa staili hiyo (ni mawazo yangu binafsi, si lazima yawe sahihi vile vile)
 
mkuu naamini nia ya mleta mada ilikuwa hiyo
sasa huku Ally anakoelekea kunapelekea zaidi kuingia kwenye lile jukwaa la stress ambalo naamini pia sio lengo la mleta mada hapa
 
Problems are simply part of the curriculum that appear and fade away like algebra class but the lessons you learn will last a lifetime.

this got me thinking....

Ndio maana Mungu anatupa matatizo hapa na pale, masomo tunayojifunza baada ya hayo matatizo yanadumu maisha yetu yote...
 
Ee Mungu wanasema kila kitu kitokeacho ni mipango yako, Kweli na huyu Rais ni mpango wako baba?
 
Back
Top Bottom