Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Siamini kama nimelitaja bure. Nataka nimjue zaidi. Nimuulize maswali. Anisaidie.......

Kutaja bure ni kama hivi: Unamwona binti mrembo anapita kafungasha masaburi ya haja, guu kama chupa ya bia, sura kama Cleopatra......afu badala ya kuendelea na biashara yako we unapiga shingo feni afu unaibuka na "Mungu wangu, ningempata huyu demu, sitatumia kondom wallah) .......Sasa huku ndio kulitaja bure jina la Mungu..............Sawa eh?

Asprin sikuwa na mpango wa kucheka leo ila duh umenifanya nicheke kwa sauti hapa mpaka naulizwa umechanganyikiwa au imekuwaje

Mamushka haya maneno ya Busara ya Mungu huwezi yaandika kwa kikwetu nikupate zaidi...lol
Nakusalimu tu Mshiki!!

kwa kinyumbani unataka Meku?

mie mzima asante aisee...naamini na wewe Mungu anaendelea kukulinda na kukuongoza.

Katekisimu mamushka haina majibu kutoka kwa Mungu.........Katekisimu si kaandika binadamu? Mi nataka Mungu anijibu direct... kama alivyoongea na Musa na Nuhu anipe na mimi nafasi kidogo ya kumuuliza japo kaswali kamoja. Au nimwombe kitu kimoja......

Sasa rafiki ukimuuliza kwa ukali si ndio atakuogopa na kutokomea moja kwa moja?........Kama unampenda mwanao utamwachaje atokomee moja kwa moja? Labda kama humpendi. Mi naamini Mungu anatupenda, kwanini anamwacha shetani atufanyie visa? Kwanini asimuue atuache tujinafasi?

haya we gangamala unataka umuone...siku hiyo utashangaa kichakani inatokea sauti tu na mwanga na wewe unaanguka chali huko....

Siamini kama nimelitaja bure. Nataka nimjue zaidi. Nimuulize maswali. Anisaidie.......

Kutaja bure ni kama hivi: Unamwona binti mrembo anapita kafungasha masaburi ya haja, guu kama chupa ya bia, sura kama Cleopatra......afu badala ya kuendelea na biashara yako we unapiga shingo feni afu unaibuka na "Mungu wangu, ningempata huyu demu, sitatumia kondom wallah) .......Sasa huku ndio kulitaja bure jina la Mungu..............Sawa eh?

babu ODM Mungu amesema atakujibu maswali yako yote kwenye ndoto leo usiku

wengine wanasema mwacheni mama aitwe mama,

wengine wanasema mwacheni mungu aitwe mungu.........

hapo sijui wababa tupo upande gani wallahi.....?

ODM, pengine mie ningemuuliza Sir GOD hivi.........

''wajameni kulikoni mpaka kutuumba hivi tuhangaike na hizi baiolojia zetu,
kutwa kufuatilia/kutongoza mabinti, hebu tupe break kidogo na sie, mabinti waanze,
nao kuhangaika /kututongoza lol....inahusu.........''

Hapo unatamani Mungu akugeuze uwe wa jinsia tofautio wewe
maana atakuwa na hasira na wewe yaani balaa

haya we gangamala unataka umuone...siku hiyo utashangaa kichakani inatokea sauti tu na mwanga na wewe unaanguka chali huko....
Si tumeambiwa tumefanana naye? Kwani sisi tunafanana na mwanga?

babu ODM Mungu amesema atakujibu maswali yako yote kwenye ndoto leo usiku
Amen....ntafurahi sana.

wengine wanasema mwacheni mama aitwe mama,

wengine wanasema mwacheni mungu aitwe mungu.........

hapo sijui wababa tupo upande gani wallahi.....?

ODM, pengine mie ningemuuliza Sir GOD hivi.........

''wajameni kulikoni mpaka kutuumba hivi tuhangaike na hizi baiolojia zetu,
kutwa kufuatilia/kutongoza mabinti, hebu tupe break kidogo na sie, mabinti waanze,
nao kuhangaika /kututongoza lol....inahusu.........''
Aiseee Mungu apitishe mbali, hachelewi kuzibadili hizi baioloji....... Kesho ukiamka mzee mzima unakojoa ukiwa umechuchumaa.......Mungu nakuomba usilikubali hili ombi la Bacha....hatari sana hii!

Hapo unatamani Mungu akugeuze uwe wa jinsia tofautio wewe
maana atakuwa na hasira na wewe yaani balaa
Hahahaha........ I TOLD HIM Yoooooo.... IGWEEEEEEEEEEEE!

Hahahaha........ I TOLD HIM Yoooooo.... IGWEEEEEEEEEEEE![/QUOTE]

Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla
Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli
Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi
Kwa nini wanalindana hivi
Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili
Kwa nini wanazidi kutuonea hivi
Kwa nini .........ahhhh nina hasira

tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu....

sasa Mungu anafanana na nani basi? jiulize afu ujipe jibu mwenyewe

Hahahaha........ I TOLD HIM Yoooooo.... IGWEEEEEEEEEEEE!

Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla
Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli
Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi
Kwa nini wanalindana hivi
Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili
Kwa nini wanazidi kutuonea hivi
Kwa nini .........ahhhh nina hasira[/QUOTE]

kumbe akili tunazo? zinatusaidia nini basi au ndo tunasubiri Mungu ashuke aje atusaidie kuwawajibisha mafisadi?

Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla
Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli
Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi
Kwa nini wanalindana hivi
Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili
Kwa nini wanazidi kutuonea hivi
Kwa nini .........ahhhh nina hasira

kumbe akili tunazo? zinatusaidia nini basi au ndo tunasubiri Mungu ashuke aje atusaidie kuwawajibisha mafisadi?[/QUOTE]

Mkuu nafikiri akili tunazo ila kuna mtu katuloga na aliyetuloga kashakufa so tumebaki kama hatuna akili tunaenda tuu

Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla

Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli

Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi

Kwa nini wanalindana hivi

Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili

Kwa nini wanazidi kutuonea hivi

Kwa nini .........ahhhh nina hasira
Mungu angekuja JF asingekanyaga Jukwaa la Siasa wala La Dini. Angeweka kambi MMU na Chit Chat.....Afu tungepata nafasi ya kumuuliza maswali yetu

kumbe akili tunazo? zinatusaidia nini basi au ndo tunasubiri Mungu ashuke aje atusaidie kuwawajibisha mafisadi?

Mkuu nafikiri akili tunazo ila kuna mtu katuloga na aliyetuloga kashakufa so tumebaki kama hatuna akili tunaenda tuu[/QUOTE]

sawa, hapo tatizo ni letu, maana tulipewa akili na tunashindwa kuzitumia...acha tuendelee kufisadiwa! (na nani alikuambia tumelogwa?...lol! ama lweli sisi ni mabingwa wa visingizio)

Hivi kwa nini mungu ni mwanamme?
Wallah ukimuuliza hili swali atakubadili jinsia. Usithubutu kukutwa!

sawa, hapo tatizo ni letu, maana tulipewa akili na tunashindwa kuzitumia...acha tuendelee kufisadiwa! (na nani alikuambia tumelogwa?...lol! ama lweli sisi ni mabingwa wa visingizio)
Hili ni swali jingine la kumuuliza Mungu.... Eti kuna uchawi? Kwanini anaruhusu wachawi waendelee kupeta?

We Ally wa kitaa! Umejuaje kama Mungu mwanamme? Kwani kuna wa2 wanajua mungu ni jinsia gani?

Mkuu nafikiri akili tunazo ila kuna mtu katuloga na aliyetuloga kashakufa so tumebaki kama hatuna akili tunaenda tuu

sawa, hapo tatizo ni letu, maana tulipewa akili na tunashindwa kuzitumia...acha tuendelee kufisadiwa! (na nani alikuambia tumelogwa?...lol! ama lweli sisi ni mabingwa wa visingizio)[/QUOTE]

Mkuu sisi tuna akili na tuna uwezo wa kufanya maamuzi ila ni mabingwa wa kusahau matukio na mengi yanapta kwa kuwa hatutilii maanani wala kuhoji tunajiridhisha tuu kuwa mambo yako sawa wakati tunaumia

God's tests are the healing medicine of those who are nigh unto Him, His sword is the ardent desire of all them that love Him, His dart is the dearest wish of those heartsthat yearn after Him, His decree is the sloe hope of them that ave recognized His truth.....

kama vipi kafanye marudio ya katekisimu biggy....

Hivi kwa nini mungu ni mwanamme?

hivi kwani tunajua jinsia yake basi? hajulikani na yeyote ila ni kwa imani tu twakiri kuwa yupo. labda mfumo dume ulipelekea watu kumwandika kama ni mwanaume...
(eeh kwanza swali lenyewe si ilikuwa aulizwe Mungu?)

Back
Top Bottom