Ukigundua mumeo nae ana "mume" utafanyaje?!

Yah kuna demu anatembea na baba yake tena ni mchaga ata sijui itakuwa ndo yale mambo ya masharti ya mganga ilo demu mwenyewe amenona!

Inawezekana ni masharti ya waganga. Nina rafiki yangu alikuwa anafanya hivyo na babaake (huyu mzee ni mtu maarufu na amewahi kuwa mbunge) akapewa ukurugenzi katika miradi ya babake, baadae huyu mzee akaanza kutembea na wadogo zake huyu rafiki yangu - nadhani alitakiwa kufanya hivyo kama muendelezo wa masharti, sasa hawa mabinti walipojua ikawa ugomvi mkubwa, yule rafiki yangu akaamua kumrudia mungu, akajiunga na kanisa moja maarufu la kilokole, akatoa ushuhuda!

Mzee amemfukuza yule binti na kumnyang'ang'anya kila kitu ikiwemo ku freeze accounts zake.
 
Asante kwa taarifa japo si rasmi, pengine matokeo ya study yataonyesha ukubwa wa tatizo na watu wataanza kuchukua hatua. Mara nyingi ni vigumu kumtambua mtu mwenye tabia hii labda study hii pia itabainisha sifa za watu hawa ili isaidie kuwatambua.
yaah ila judging by the way things are looking and i hope this study becomes public...tatizo ni KUBWA MNOOOO!!!!Nadhani US wanawaita DL's (down low)...tatizo la hawa wanakuwa bisexual japo preference inakuwa kwa wanaume wenzao zaidi na kuoa inakuwa kama "smokescreen" ya whats really happening in their lives!!! ikija kwenye swala zima la maambukizi ya ukimwi mi nadhani hawa watu ni hatari sana for obvious reasons.....May God help us all!!!!
 
Kelelee,
Ni kweli wengi wanaoa ili kuficha tabia yao hii chafu, its sad mtu anapoamua kumtumia binaadam mwenzie kama kinga ya anayofanya nyuma ya pazia. Kuhusu maambukizi ya ukimwi hawa watu ni hatari zaidi maana uwezekano wa wao kupata maambukizi ni mkubwa sana kupitia hiyo side door wanayoitumia. Hope the report itakuwa for public use
 
Nasikia wanawake wanalinda bikira yao kwa kutoa tigo ili akija kuolewa asiaibike. Na midume nayo huwa inawashwa kunako shimo au inakuwaje?

Unasikia???wivu huna lakini roho inakuma sana .sasa hutoshanga kusikia kuwa kupatikana kwako kulikuwa kununuliwa pombe bimkubwa.(than legs over)imetoka hiyo
 
Ukilijua hili na wewe toa huduma zote nini tatizo...hakuna aja ya kushindana nae huyo x+y=z
 
we unasgangaa mimi nimeshuhudia jamaa mmoja tena mwanajeshi wa cheo cha juu alikuwa hawezi kabisha kumpa haki ya ndoa mkewe mapaka apigwe anatoka akikimbia mpaka kwa mkewe ndio anaweza kumpelekea moto mkewe

na kuna jamaa mwingine alikuwa analiwa na huku ana mke wake watu wakawa wanamwambia mkewe jamaa linagawa mkewe akawanasema ni wivu wa watu maana wanawaona wanaendelea ikizingatiwa mama ndiye alikuwa anamtunza jamaa maana hatakipato cha mama kilkuwa juu hiyo ikaendela ,mpaka watu wakaridhika wakawaacha siku ya siku jamaa akaja kutembelea huyo jamaa nyumba mzuka ukawapanda wakashindwa kujuvumilia mama alikuwa bado hajarudi kutoka kazini wakaona wamalizene fasta ila wanajipinda jamaa wamevua nguo zote wapo sebuleni wanapelekeana moto wa chapuchapu mama akaingia hakuamini macho yake alifikiri anaota alirudia pale pale mlangoni akamwachia jamaa nyumba na vitu vyote mapakamleo hajarudi alienda kupangisha nyumba nyingine na kujinunulia vitu vingine sasa jamaa ndio kama kalogwa maana amekuwa akifanya live bila chgenga sas
 
We unasema hivyo wakati wapo hadi mawaziri wenu swala la kumwomba mungu tu hii tabia iishe
 
Inawezekana ni masharti ya waganga. Nina rafiki yangu alikuwa anafanya hivyo na babaake (huyu mzee ni mtu maarufu na amewahi kuwa mbunge) akapewa ukurugenzi katika miradi ya babake, baadae huyu mzee akaanza kutembea na wadogo zake huyu rafiki yangu - nadhani alitakiwa kufanya hivyo kama muendelezo wa masharti, sasa hawa mabinti walipojua ikawa ugomvi mkubwa, yule rafiki yangu akaamua kumrudia mungu, akajiunga na kanisa moja maarufu la kilokole, akatoa ushuhuda!

Mzee amemfukuza yule binti na kumnyang'ang'anya kila kitu ikiwemo ku freeze accounts zake.

Ni Tamaa tu. Kulala na Binti yako kunahusiana vipi na wewe kupata utajiri?? Ni tamaa ya hao mabazazi tu na watoto wenyewe!
 
we unasgangaa mimi nimeshuhudia jamaa mmoja tena mwanajeshi wa cheo cha juu alikuwa hawezi kabisha kumpa haki ya ndoa mkewe mapaka apigwe anatoka akikimbia mpaka kwa mkewe ndio anaweza kumpelekea moto mkewe

na kuna jamaa mwingine alikuwa analiwa na huku ana mke wake watu wakawa wanamwambia mkewe jamaa linagawa mkewe akawanasema ni wivu wa watu maana wanawaona wanaendelea ikizingatiwa mama ndiye alikuwa anamtunza jamaa maana hatakipato cha mama kilkuwa juu hiyo ikaendela ,mpaka watu wakaridhika wakawaacha siku ya siku jamaa akaja kutembelea huyo jamaa nyumba mzuka ukawapanda wakashindwa kujuvumilia mama alikuwa bado hajarudi kutoka kazini wakaona wamalizene fasta ila wanajipinda jamaa wamevua nguo zote wapo sebuleni wanapelekeana moto wa chapuchapu mama akaingia hakuamini macho yake alifikiri anaota alirudia pale pale mlangoni akamwachia jamaa nyumba na vitu vyote mapakamleo hajarudi alienda kupangisha nyumba nyingine na kujinunulia vitu vingine sasa jamaa ndio kama kalogwa maana amekuwa akifanya live bila chgenga sas

huyu jamaa wa pili aliyeachiwa nyumba unamaanisha yupi? au ndio ninayemjua mimi?
 
nauliza hivi huyu jamaa aliyeachiwa nyumba ni yupi huyo? au ni huyo ambaye hata mimi ninamjua
 
Ni Tamaa tu. Kulala na Binti yako kunahusiana vipi na wewe kupata utajiri?? Ni tamaa ya hao mabazazi tu na watoto wenyewe!

Ni kweli mkuu, tatizo hii imani potofu imetawala sana jamii yetu
 
Hili ni tatizo kubwa sana ambalo huwa lina waathiri sana wana familia (mama na watoto). Huwa ni ngumu sana kukubaliana na hali hiyo, na ikishakuwa kwenye public domain na hasa kwenye mazingira ya kwetu watoto wanaweza kuwa affected psychologically na madhara yake ni mabaya sana inawezekana maisha yao yakaharibika moja kwa moja na hasa kama tatizo limegundulika wakati wakiwa bado wana age ndogo ambako peers wao wanaweza kuwa wanatumia lugha mbaya kuwasema.

Mungu aepushe tatizo kama hili likapitia mbali sana na familia yako ama ulisikie kwa watu wengine lakini lisimguse mtu wa karibu yako, na esp, mzazi.
 
Amen! Maana yakikukuta unaweza kujikuta Mungu unamwita shemeji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom