Ukigundua mumeo nae ana "mume" utafanyaje?!

katika kesi nyingi za namna hiyo ndoa ya mwanamke huwa inavunjika na kuiacha ile isiyo rasmi.ukiona mwanaume ameamua kujifanya yeye ni mwanamke hapo tena hakuna cha kufanya ni kumuomba mungu yasije kukuta ama kutokea katika jamii uliyonayo karibu
 
Kama mwanamke akigundua mmewe anapumliwa na yeye atafute mwanake mwenzake amkarabati
 
Hayo yapo sana jamani na tuwe makini sana katika kumkubali mchumba ambae humfaham zaidi, nina rafik yangu ameachana na mme wake wa ndoa mwaka 2007, walikuwa marafiki for 6 yrs walidumu katika ndoa kwa miezi 6 tu, tatizo mme alikuwa mhuni sana anachanganya wanawake wa aina tofauti, rafik yangu alitafuta chanzo ni nini akaja kupata yule mme alikuwa anapenda tigo na kwake alikuwa hapati kwaiyo kwa hao wasichana aliifuata hiyo, ilifika wakati wakiwa katika tendo la ndoa mme anataka atiwe kidole na mkewe na mkewe kitendo hiko hakiwezi, basi ilikuwa hakitoka tu ndani akirudi ghafla anakuta mme yule yuko na artificial la kutengeneza mwenyewe anajiingiza nalo, likuwa ngum kuamini na rafik yangu aliumia sana mana alikuwa hajui ata tatizo hili alipeleke wapi na litaisha na nn kama imeshafikia hivo, aliamua waachane kabisa! ile kuachana tu baada ya kama miezi 6 kupita mme yule akaoa dada wa kichaga na mme mwenyewe alikuwa na pesa maana alikuwa katika kampuni za madini hizi basi alikuwa anakula kama $3500 hivi! Hivi ss yule mme anampigia rafiki yangu cm anamwambia nipo ktk group sex hapa naenjoy sana natamani ungekuwepo unione uone ilivokuwa raha na hakuna raha katika dunia hii kama kitendo hiki unakosa sana raha kwa kutotaka kuliwa ti...o! anaweza akampigia akamwambia nipo na mzungu tu na mghana flan yan wamenichukua na boat tupo kisiwan naenjoy wala sijalala kumbuken hao anaowataja ni wanaume wenzake, mme kawa addicted mpaka sshivi anaongea tu kwa huyu mkewe wa zamani na ss huyu mwanamke ndio anaamka kujua kumbe ndio maana alikuwa maraya sana! jamani dume ukiliona la maana limeshiba kifua kikubwa na ni handsomeboy flan maana ni mixer flan hivi! lakn habari ndio hiyo huyo dd wa kichaga hajui analea maradhi tu ndani kwake maskin dunia hii!
 
Pemba ndo wamezidi si cha wanawake si wanaume kujiexpress ni jadi
Nasikia wanawake wanalinda bikira yao kwa kutoa tigo ili akija kuolewa asiaibike. Na midume nayo huwa inawashwa kunako shimo au inakuwaje?
 
mmh hii kali mpe pole sana rafiki yako alifanya uamuzi wa kijasiri
 
Hili swali liliulizwa mwanzo,mimi nililijibu,isipokuwa sikumbuki nilitoa jibu gani. Ah ndio,nilisema,huyo mwanamke asimuache huyo jamaa,awe tu mvumilivu,aendelee kuishi naye,kwa sababu mchagua jembe siyo mkulima. Na hayo ni mambo alipaswa kupeleleza kabla ya ndoa. Watu kama hao ukiwaacha,you just make the problem worse. Ni kama ukimkamata shoga,halafu unampeleka Keko,hakuna faida yoyote. Anakwenda kule kuongeza corruption.
 
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?

mhh!!! haya ndio yale mambo ambayo, mtu unaomba tu yasitokee maana mtu unaweza kuwa mdogo kuliko piriton na ukaishiwa nguvu hata ya kufungua mdomo na kuongea chochote,
yaani sijui hata ningefanya nini, labda tu ningemuomba Mungu kwanza ili anipe busara na nguvu.

ila whatever the case, the marriage will never be the same...
 
Yah kuna demu anatembea na baba yake tena ni mchaga ata sijui itakuwa ndo yale mambo ya masharti ya mganga ilo demu mwenyewe amenona!
 
Hili swali liliulizwa mwanzo,mimi nililijibu,isipokuwa sikumbuki nilitoa jibu gani. Ah ndio,nilisema,huyo mwanamke asimuache huyo jamaa,awe tu mvumilivu,aendelee kuishi naye,kwa sababu mchagua jembe siyo mkulima. Na hayo ni mambo alipaswa kupeleleza kabla ya ndoa. Watu kama hao ukiwaacha,you just make the problem worse. Ni kama ukimkamata shoga,halafu unampeleka Keko,hakuna faida yoyote. Anakwenda kule kuongeza corruption.

tatizo Ganesh ni kwamba ushoga ni issue complicated sana, inaonekana kama vile walio kwenye hayo maisha hawana uwezo wa kufanya maamuzi ya kuacha, lakini kwa mkewe ni ngumu sana vile vile kwa sababu mumewe ana cheat tena akichukuliwa kama mwanamke,
 
Yah kuna demu anatembea na baba yake tena ni mchaga ata sijui itakuwa ndo yale mambo ya masharti ya mganga ilo demu mwenyewe amenona!

eeeeeeeeeeeeh hii itakuwa ni laana sio bure ..na my wife wa huyo mchanga yupo anaangalia uvundo huu ???
 
Nasikia wanawake wanalinda bikira yao kwa kutoa tigo ili akija kuolewa asiaibike. Na midume nayo huwa inawashwa kunako shimo au inakuwaje?

Hahahaha tupo pamoja mpwa Pemba mwanamke akiolewa na bikra ya mbele ni bonge la sherehe lakini bikra ya kujiexpress kwao ni ishu ndogo sana.
 
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?
....nafahamu kuna study inafanyika hapa dar kwa sasa kuhusu hii hali na kwa taarifa zisizo rasmi hii kitu iko sanaaaaaaaaaaaaaa...yaani watu wameoa na watoto kama kawaida lakini wanamega/megwa kama kawaida tu na wanaume wenzao ....n life goes on!!!!!
 
Dunia ina mambo hii! Haya maendeleo ya siku hizi yanaleta na vituko tusivyotegemea.Lakini kama Sikosei Sir Elton John alioa kabla ya kuolewa ingawa sijui kama aliwahi kupata watoto
 
Asante kwa taarifa japo si rasmi, pengine matokeo ya study yataonyesha ukubwa wa tatizo na watu wataanza kuchukua hatua. Mara nyingi ni vigumu kumtambua mtu mwenye tabia hii labda study hii pia itabainisha sifa za watu hawa ili isaidie kuwatambua.
 
Dunia ina mambo hii! Haya maendeleo ya siku hizi yanaleta na vituko tusivyotegemea.Lakini kama Sikosei Sir Elton John alioa kabla ya kuolewa ingawa sijui kama aliwahi kupata watoto

Alipata mtoto wa kike kwenye ndoa yake ya kwanza, anasema ilikuwa ngumu sana kwa mkewe na binti yake kukubaliana na hali halisi, lakini sasa wamemuelewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom