Ukiacha Marais Hawa, ni Rais Gani wa Afrika Mwenye Jeuri ya Kumnyoshea Kidole Gbagbo?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wana JF,
Hivi ukiondoa marais wa Ghana, Afrika Kusini na Botswana, ni rais gani wa Afrika mwenye jeuri ya kumnyoshea kidole cha shutma Gbagbo wa Ivory Coast?? Kwa mtazamo wangu simwoni. Labda kama wapo mnaowafahamu. Lakini Bw. Gbagbo anafanana sana na marais wengine kwa hulka ileile ya kung'ang'ania madaraka. Tofauti yao ni approach tu inayotumika kung'ang'ania madarakani. Wengine wanachakachua
waziwazi kura za wananchi bila hata aibu na wanawatumia vibaraka wao kujitangazia ushindi. Asilimia 99.9 ya viongozi wa Afrika ni akina Gbagbo.
 
Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. wa ukweli W. Slaa, Mi naona Kikwete ni sawa na Gbagbo ila utofauti ni kuwa Gbagbo amechakachua kinguvu bila ya kuhusisha Tume ya uchaguzi na Kikwete amechakachua kushirikiana na tume ya uchaguzi pamoja na watumwa wa usalama wa mafisadi wanaosaidia kuliteketeza Taifa la Tanzania na Mafisadi kama Kikwete na genge lake la Majambazi sugu
 
Wana JF,
Hivi ukiondoa marais wa Ghana, Afrika Kusini na Botswana, ni rais gani wa Afrika mwenye jeuri ya kumnyoshea kidole cha shutma Gbagbo wa Ivory Coast?? Kwa mtazamo wangu simwoni. Labda kama wapo mnaowafahamu. Lakini Bw. Gbagbo anafanana sana na marais wengine kwa hulka ileile ya kung'ang'ania madaraka. Tofauti yao ni approach tu inayotumika kung'ang'ania madarakani. Wengine wanachakachua
waziwazi kura za wananchi bila hata aibu na wanawatumia vibaraka wao kujitangazia ushindi. Asilimia 99.9 ya viongozi wa Afrika ni akina Gbagbo.

Dr. Wilbroad Peter Slaa
 
gbagbo ni mkatoliki na alasane ni muislam.
gbagbo anatetea mfumo kandamizi wa kanisa. Ndio maana hata kama jumuiya ya kimataifa watapiga kelele vipi hawezi kuachia muislam achukue nchi yasije kufumuka madudu kama ya mou tanzania.
hakuna tofauti na kibaki. Wako tayari kuuwa idadi yoyote ya raia lakini lazima mfumo katoliki utawale.

ole wetu tukichagua maraisi wanaofadhiliwa na kanisa kama akina dr. Wa mfuko wa cement 5000/=
 
Hongera kwa uchambuz makini unaotokana na mawazo finyu; ya kifisadi.
 
Kikwete ataanzia wapi wakati yeye mwenyewe ni mwizi. Kikwete, Mugabe, Mseven, Kibaki, Gadafi, Bashiri, Rais wa Zambia nawengine Wengi Wakiongea watakua Wanafki
 
gbagbo ni mkatoliki na alasane ni muislam.
gbagbo anatetea mfumo kandamizi wa kanisa. Ndio maana hata kama jumuiya ya kimataifa watapiga kelele vipi hawezi kuachia muislam achukue nchi yasije kufumuka madudu kama ya mou tanzania.
hakuna tofauti na kibaki. Wako tayari kuuwa idadi yoyote ya raia lakini lazima mfumo katoliki utawale.

ole wetu tukichagua maraisi wanaofadhiliwa na kanisa kama akina dr. Wa mfuko wa cement 5000/=

Aisee leo watoto mtalala saangapi?. Hauendi disco Toto?.
 
Jumuiya zinazomshinikiza gbagbo kuachia ngazi kwa kiwango kikubwa zinaongozwa na wakristo, hivyo hapa hakuna suala la dini.
 
gbagbo ni mkatoliki na alasane ni muislam.
gbagbo anatetea mfumo kandamizi wa kanisa. Ndio maana hata kama jumuiya ya kimataifa watapiga kelele vipi hawezi kuachia muislam achukue nchi yasije kufumuka madudu kama ya mou tanzania.
hakuna tofauti na kibaki. Wako tayari kuuwa idadi yoyote ya raia lakini lazima mfumo katoliki utawale.

ole wetu tukichagua maraisi wanaofadhiliwa na kanisa kama akina dr. Wa mfuko wa cement 5000/=

kila thread ikianzishwa lazima watu waje na pumba za udini hata kama lengo la thread si udini
 
Africa hakuna aliyeingia kwa halali hivyo nivigumu kumnyoshea kidole gbgo!Nakumbuka Bob Mgabe aliwambia viongozi wote wa jumuia ya africa ninani aliyemsafi amnyoshee mkono wote wakanywe!!Hivyo ndiyo siasa ambayo sasa africa tunaenda nayo!
 
gbagbo ni mkatoliki na alasane ni muislam.
gbagbo anatetea mfumo kandamizi wa kanisa. Ndio maana hata kama jumuiya ya kimataifa watapiga kelele vipi hawezi kuachia muislam achukue nchi yasije kufumuka madudu kama ya mou tanzania.
hakuna tofauti na kibaki. Wako tayari kuuwa idadi yoyote ya raia lakini lazima mfumo katoliki utawale.

ole wetu tukichagua maraisi wanaofadhiliwa na kanisa kama akina dr. Wa mfuko wa cement 5000/=

watu wengine sijui bongo zao ziko makalioni!
 
Back
Top Bottom