Ukiacha Marais Hawa, ni Rais Gani wa Afrika Mwenye Jeuri ya Kumnyoshea Kidole Gbagbo?

gbagbo ni mkatoliki na alasane ni muislam.
gbagbo anatetea mfumo kandamizi wa kanisa. Ndio maana hata kama jumuiya ya kimataifa watapiga kelele vipi hawezi kuachia muislam achukue nchi yasije kufumuka madudu kama ya mou tanzania.
hakuna tofauti na kibaki. Wako tayari kuuwa idadi yoyote ya raia lakini lazima mfumo katoliki utawale.

ole wetu tukichagua maraisi wanaofadhiliwa na kanisa kama akina dr. Wa mfuko wa cement 5000/=


This is a stupid idea i have come accross!
Kaa na udini wako mpaka mwisho wa maisha yako.

Tutamsema Mkapa au JK kama ni corrupts .I dont care their religion.
Oh it seemes you are with dictators like Bashir na Ghadafi,you can say the western favours them cause they are catholic.What a cock up
 
Wana JF,
Hivi ukiondoa marais wa Ghana, Afrika Kusini na Botswana, ni rais gani wa Afrika mwenye jeuri ya kumnyoshea kidole cha shutma Gbagbo wa Ivory Coast?? Kwa mtazamo wangu simwoni. Labda kama wapo mnaowafahamu. Lakini Bw. Gbagbo anafanana sana na marais wengine kwa hulka ileile ya kung'ang'ania madaraka. Tofauti yao ni approach tu inayotumika kung'ang'ania madarakani. Wengine wanachakachua
waziwazi kura za wananchi bila hata aibu na wanawatumia vibaraka wao kujitangazia ushindi. Asilimia 99.9 ya viongozi wa Afrika ni akina Gbagbo.

Sidhani kama kuna mwingine zaidi ya hao uliowataja wengine wote ni ving'ang'anizi wa madaraka na watafanya kila namna ili kuiba chaguzi hata kwa kutumia vyombo vya dola na kuendelea kubaki mdarakani. Kumbuka uchaguzi wetu wa hivi karibuni ambao ulichakachuliwa katika majimbo mengi kuanzia ubunge hadi Urais.
 
hiyo ndo Africa, tunamsubiri Mr. Asange wa WikiLeaks kutoa siri jinsi uchakachuaji ulivyofanyika na wahusika! Kila mtu atabeba msalaba wake!
 
rais wa Nigeria Godluck Jonathan! na ndiye yeye anaye-spearhead kampeni ya kumuondoa..
 
Back
Top Bottom