UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukawa wamejikuta pabaya baada ya mgombea urais wao kufika jukwaani na kuwanadi wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge huku akiwaaombea kura katika mkutano wa chadema.
Pigo la pili ni pale waliposhindwa kesi maakamani baada ya mahakama kuu kupiga marufuku wapiga kura kukusanyika katika maeneo ya vituo vya kupiga kura ikiwa ni moja ya mkakati wao wa kuvuruga uchaguzi

Na watapigwa tu kwa kuwa hakuna namna inabd wapigwe tuu!
 
Kwa unaolisema Gazeti la Raia Mtanzania nakuarifu kuwa hilo gazeti makini kwa watu makini,viroba hawawezi kulisoma kwani inataka muda na uchambuzi kwani liko huru kwa waandishi wake. Wapo wanaomsapoti na kumpinga Lowassa.
 
12046705_129775030712865_8664789500788659568_n.jpg
 
hawana shukrani.....walipewa ofa ya kukaaa mita 200 wakaona hazitoshiii....mwisho wa siku wamekosa zooooteeee..
 
mtaka nyingi nasaba ....HUpata bmingi misiba ....hahahaaaaaaaa....ukawa mmechemka sanaaaaa
 
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukawa wamejikuta pabaya baada ya mgombea urais wao kufika jukwaani na kuwanadi wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge huku akiwaaombea kura katika mkutano wa chadema.
Pigo la pili ni pale waliposhindwa kesi maakamani baada ya mahakama kuu kupiga marufuku wapiga kura kukusanyika katika maeneo ya vituo vya kupiga kura ikiwa ni moja ya mkakati wao wa kuvuruga uchaguzi

Eti Hbr Kama Hiyo Mhariri Mkuu, Ndio Hbr Kubwa Ya KUUZA Magazeti Yao Ya UHURU Na JAMBO LEO! Aibu Kubwa!! Ila Kesho Ndio Final, Magazeti YENU Mtageuza Ya Kufutia Kinyesi!!!!
 
Nyinyi watu munadai munapendwa sana mbona munatumia pesa nyingi mno na nguvu kuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa.
 
Back
Top Bottom