UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

Mnataka kubaki madarakani kwa msaada wa nguvu ya dola na Taasisi kama mahakama na NEC alafu unakuja hapa kuandika pumba zako!!Ovyo kabisa nyie watu!
 
Dunia imekubar na tanzania imekubari
Magufuli ndiye rais wetu wa awamu ya tano tanzania
 
Sasa mnawasumbua nini kina bibi Maria Nyerere na kutumia nguvu nyingi kubeba system yenu yote majukwaani wakati mnajua ukawa imeshashindwa? Radio 67 za nini? Na bado, mtafungua na zingine kesho asbh.
 
lakini si alijisahau tu,,,,huyu nachelea akiwa rais lowasa akiulizwa swali,,"mtukufu rais lowasa tufanyeje ili kuwasaidia wakinamama wajawazito?".


yeye atadhani kaulizwa kuhusu ng'ombe wake,atajibu "NATAKA WACHINJWE WOTE"...

Amri ya rais inabidi itekelezwe,,,masikini wamama wajawazito watakula kisu wote...
 
Mimi nasikiliza radio one,anawanadi wagombea wa ukawa... Kama unaongelea kuteleza kwa ulimi,hilo ni tatizo lako binafsi mkuu!@KISESERA
 
Kura yangu ni kwa magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli

Tuchague ESCROW?angekuwa mgombea huru sawa.Lakini kwa vile anagombea kupitia ccm basi hafai hata chembe.ccm ni richmond,epa,twiga kupelekwa arabuni,madini,mabehewa tshs 400bllion,nk hawa ukiwapa tena nchi wewe utakuwa zezeta wa kutupa.nasema CCM haifai.
 
Tuchague ESCROW?angekuwa mgombea huru sawa.Lakini kwa vile anagombea kupitia ccm basi hafai hata chembe.ccm ni richmond,epa,twiga kupelekwa arabuni,madini,mabehewa tshs 400bllion,nk hawa ukiwapa tena nchi wewe utakuwa zezeta wa kutupa.nasema CCM haifai.

Hatuchagui escrow wala Richmond, tutachagua mwiba wa mafisadi, Magufuli magufuli magufuli
 
raia tanzania at work, kisa chuki na ukawa. Siyataki tena magazeti yanayoandika uzandiki. Kamwaga na dilunga wauzieni wenzenu wa ccm hao hao magazeti yenu. Hakuna utofauti na uhuru

we nyumbu, nani kakwambia ulinunue. Wengine wapo. Raia tanzania hawahongeki hao. Rushwa kwao mwiko. Kwao ni weledi na uadilifu. Hawana undumila kuwili wala kulamba matapishi. Hawana sabuni ya kumsafisha aliyechafuka. Wao wama kalamu tu. Nenda mwanahalisi na mawio huko wana duka la sabuni.
 
ila leo maccm yameacha hata kufanya kazi wanaanzisha tuu thread humu zisizo na vichwa wala mkia
 
zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukawa wamejikuta pabaya baada ya mgombea urais wao kufika jukwaani na kuwanadi wagombea wa ccm wa udiwani na ubunge huku akiwaaombea kura katika mkutano wa chadema.
Pigo la pili ni pale waliposhindwa kesi maakamani baada ya mahakama kuu kupiga marufuku wapiga kura kukusanyika katika maeneo ya vituo vya kupiga kura ikiwa ni moja ya mkakati wao wa kuvuruga uchaguzi

hakika rais ni magufuli mzalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom