Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Zito bado yuko mcbani!!
Yule kapata lini cpa? Mtu kasoma bba arusha univ juz juz tuMwigamba anatuaibisha sana wahasibu na ma auditors. Natamani NBAA wamnyang'anye CPA yake. Hii ni aibu
Beth. Kumbe wewe ni ACT Live! daa ckujua hili. Hivi kaka daah acha tu nsiseme maana amazing! yaani siamini kabisa kuwa umo kundi hili la watu wanaotucheleweshea ukomboziTehe! haya bwana.
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mnafiki Ana sura tatu? Huyu ana sifa zote hizo ..Beth. Kumbe wewe ni ACT Live! daa ckujua hili. Hivi kaka daah acha tu nsiseme maana amazing! yaani siamini kabisa kuwa umo kundi hili la watu wanaotucheleweshea ukombozi
mwenyekiti wa act tawi la jf naona hutoki kwenye huu uzi
[h=3]Desperate Woman.[/h]Mwigamba atakuwa na hali ngumu sana..hela iliyopigwa TANAPA na NSSF kupitia wasanii wa ukanga mmoja imekuwa nuksi,boss ana matatizo kumgusa anaweza ropoka, ....boss naye anawachanganya kwani tayari analili TOO LOCALS kuwa hawajashiriki..mwigamba hana hakina km boss anachagua njia gani tena.
Kasomeni hiyo source , kama alijishughulisha kujianika amewaumbua , hilo ni gazeti la CCM .......Cdm kwa kutunga nyimbo zisizo hiti wanaongoza hayo maneno kayaongea saa nanae usiku nyambafu
Kwa hiyo wao wamekuja kushindana na wapinzani?
Mbona kazi ipo mwaka huu. ....
Mungu wabariki wote wenye nia njema na nchi yetu; na uwafedheheshe na kuwashusha wote wenye nia mbaya kama hawa ACT!
Kwani ukawa ni chama? Acheni propaganda CHADEMA imeshajifia
Betle, kumbe wewe ni m-act....?
Kuanzisha kwa ACT ni kwa ajili ya CHADEMA? Nilidhani kuwaondoa watanzania kwenye lindi la umaskini na kuwaletea maendeleo kama watapata kushika dola.Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.
Kweli ACT ni CCM nyingine.