UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

mnafki tu wewe,act wanapambana na cdm tu,hiyo unaona ni sawa?vyama vya upinzani lengo lao ni kukitoa chama tawala madarakani,sasa hawa wasaliti wanataka kupambana na cdm kwa faida ya ccm!and you think it's fine!tunajua mwigamba na kundi lake la wasaliti wanafadhiliwa na ccm from day one but that ain't gonna work.by the way,the last i checked you were a strong supporter of ccm and all of a sudden you join cdm/opposition just like mrema and cheyo did!!!
haya bwana!.
 
kumbe wao adui yao ni chadema sio ccm,??????????poleni sana act nazani mwakani mtapata mbunge mmoja zzk tu na msipoangalaia mtaambulia patupu act
 
Unakipenda wew na nani? Hao walagai hatutaki hats kuwasikia. Kwanza hao wasali- act hawajui kusoma wakati kwani wanzania hawahitaji utitiri wa vyama Bali wanataka chama change uwezo wa kusimamia Sera zake na kuzitekeleza kwa wananchi basi. Huyu kitila elimu yake haimsaidii kabisa
 
act inapendwa na watanzania wote, hata wewe unaipenda act sema unajitoa akili tu,,act iko mioyoni mwa watanzania
 
Naposikia act nasikia kichefuchefu. Mnahitaji miaka thelathini ninyi wasaliti ndo mpate wanachama mana hiyo dhambi yenu ya usaliti name uroho wa madaraka with wataanza kuisahau kama mtatubu.
 
Kwanza humu jf hamna wanachama Bali mnasaidiwa na ccm. Ccm wachawi wa siasa mana hats enzi ya mrema name nccr yake walimfanyia vituko nakumloga ivi ivi akopotea kabisa na sasa wanamtumia kama msukule wao wa kisiasa.
 
Ha Ha Haaa!
 
Back
Top Bottom