Ukahaba huu Temeke serikali imelala usingizi!

Inakuwaje mtu mwenye imani ya kiroho unamkodisha mtu chumba afanye ukahaba mwaka mzima?

unajua mjini kila mtu na maisha yake na kupangisha haiingiliani na shughuli ya mtu. lakini zile nyumba za pale ni kama wamespecialize kwa kazi hiyo coz zile nyumba zote kwenye kile kiuchochoro kinachounganisha mtaa mmoja na mwingine kazi ndo hiyo hiyo. vipo vyumba zaidi ya 46 na vyote vina watu. cha ajabu wanao panga pale ni wasichana tu. Mia
 
Wenye nyumba inabidi wachukuliwe hatua kwani nao wanahusika katika kuendeleza uchafu huo!
 
Buguruni sheli kwa nyuma kuna uchochoro usiku una giza wapo kibao unanunua na kupigia hapo hapo ........

pale wana paita kwa babu. halafu kwa pembeni kuna guest kama unalala hadi asubuhi hawakupi chumba, wahudumu wa ile guest wanakupa chumba tu kama unataka kupumzika si zaidi ya masaa matatu. ukizidisha unalipya upya. ile guest nashangaa wanavyofanya kazi. wenyewe hawataki eti umetoka mkoa unalala hadi kesho saa mbili uendelee na safari. Mia
 
mchele kilo 2500/=, sukari kilo 2400/=, dagaa kilo 7000/=, maharage kilo 2000/=, nyanya sado 6000/= nk nk, na failure darasa la saba na form 4 wakufa mtu.Hivi kwa maisha haya na utitiri huu wa jobless kipi tutarajie? Hayo ndo matokeo ya nchi isiyo na kipaumbele cha maendeleo ya jamii mbadala wake ni matumizi makubwa ya serikali kwa washa, magari ya kifahari, posho tena kwa watu wachache hukuviongozi wa nchi wakiwaachia wafanyabiashara wa mafuta na bidhaa muhimu wakijiendeshea biashara zao bila udhibiti.Nchi haina mwenyewe hii ni sawa na kijiwe cha wala unga na wavuta bangi, kila mtu atakalo anafanya kwani hakuna wa kumkemea wala kumzuia.Dada zangu endeleeni na kabiashara kenu bora mkono uende kunywani, ikiwezekana nendeni pale karibu na ikulu kuna wateja wa hio biashara yenu wa kumwaga.
 
Unafaa kuwa waziri wa Uchumi na Mipango wa Jamhuri ya Soko Huria.
 
biashara ya ngono imekuwa ni biashara ya zamani zaidi ktk historia ya mwanadamu na imekuwepo karibia popote pale anapoishi mwanadamu licha ya kupigwa vita na mamlaka nyingi duniani (kuna nchi chache zimeivumilia biashara hiyo na wahusika wanalipa kodi).Lakini labda tujiulize endapo kusingekuwa na biashara hiyo wateja wa huduma hiyo wangeenda wapi??kwa harkharka nahisi mambo yangekuwa ni ya hatar zaidi mf. ubakaji ungeongezeka sana hasa kwenye miji mikubwa yenye msongamano wa watu km dar.ni biashara ya kishenz lakin kwa upande mwingine inasaidia kulinda wanawake na watoto na matendo mabaya zaidi.
 
Kwa hiyo ina faida kwa jamii!Jamii isiyojali utu kwa tamaa za mwili na mali ni jamii iliyopotoka!Mtu anauza mwili wake kama nyama buchani!!
 
pale wana paita kwa babu. halafu kwa pembeni kuna guest kama unalala hadi asubuhi hawakupi chumba, wahudumu wa ile guest wanakupa chumba tu kama unataka kupumzika si zaidi ya masaa matatu. ukizidisha unalipya upya. ile guest nashangaa wanavyofanya kazi. wenyewe hawataki eti umetoka mkoa unalala hadi kesho saa mbili uendelee na safari. Mia

Mh! we mkare ...... machaka yote unayajua!!! ngoja nikatest hiyo gest nijidai nimetoka mkoa nione inakuaje. 100
 
sa nyie mnataka ukahaba usiwepo ili maandiko ya mungu yasitimie au kilà kilichoandikwa lzma kitimie vinginevyo wa2 hawatoamin uwepo wa mungu.
 
Kwani wapo sehemu gani na huduma yao kiasi gani malipo?
 
sa nyie mnataka ukahaba usiwepo ili maandiko ya mungu yasitimie au kilà kilichoandikwa lzma kitimie vinginevyo wa2 hawatoamin uwepo wa mungu.

Hivyo UKAHABA uachwe uendelee mchana kweupe ili maandiko yatimie?
 
Hao lazima watakuwa ni wahaya tu. Wengine wapo Mwananyamala buku 2 unakula mzigo hadi asbh
 
wanaipenda kazi yao maisha magumu jombaa kama vp inakuuma xana kajiue au wape kazi!!!!

ugumu wa maisha sio kigezo cha kuuza utu wako! Unashabikia biashara ya kujiuza! Unaamini kwa kufanya hivi ugumu wa maisha utaisha? Tujaribu kuwa serious wakati wa kuchangia jambo kubwa kama hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom