Ukahaba huu Temeke serikali imelala usingizi!

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Inasikitisha na kuhuzunisha pale unapowaona kina Dada pamoja na kina Mama wakiwa wamejianika mithili ya nguo za mitumba mtaa wa Kongo wakijiuza kwa bei chee!Katika mtaa huu kuna eneo ambalo wanawake hawa wamekodisha vyumba kwa ajili ya biashara hii yenye kutweza na kushusha hadhi ya mwanamke!Vyumba hivi vinajitegemea kwa kuwa na milango ya nje ili kurahisisha "wateja" kuingia na kutoka bila bughudha kutoka kwa wakazi wa nyumba hizo!
Wanawake hawa bila aibu huvaa nguo fupi na kujichanua katika milango ya vyumba vyao kusubiri "wateja" wanaomiminika kwa wingi kuanzia saa moja usiku!
Muda wa mchana hali ni shwari na huwezi kujua kama kuna "biashara" chafu inafanyika katika eneo hili!
Wenye nyumba hizi kwa tamaa ya kupata fedha wanawapangisha "AKINA MAMA POA" hawa wafanye ukahaba bila kificho!
Ukahaba katika Tanzania hauruhusiwi,mamlaka husika zipo zinafumba macho kana kwamba hazioni,kuna serikali ya mtaa,kata,wilaya mpaka manispaa ya Temeke!TAMWA mnafahamu kwamba wanawake wenzenu wanajiuza kama nyama buchani pale Temeke!!Kamanda kova take this for further action kama ilivyokuwa kule "HYENA SQUARE" ambapo hali imerudi kama zamani baada ya kusambaratishwa kwa kipindi kifupi!
AKINA MAMA POA HAWA WAMETHUBUTU KUFANYA UKAHABA,WAMEWEZA NA SASA WANASONGA MBELE 2012!
 
Wanaipenda kazi yao maisha magumu jombaa kama vp inakuuma xana kajiue au wape kazi!!!!
 
Inaelekea unanufaika na biashara hii!Ungekuwa mwanamke,inaelekea ungejiunga!Kumbe humu JF kuna MATABULARASA!
 
Mungu atusamehe Tanzania, tuwaombee jamani ili wamrudie Mungu.

Hivi Kongo ipo Temeke?
 
NDUGU,Kongo haipo Temeke,nimefananisha nguo za mitumba zinazouzwa MTAA WA KONGO!KONGO IPO AFRIKA YA KATI!
 
Inasikitisha na kuhuzunisha pale unapowaona kina Dada pamoja na kina Mama wakiwa wamejianika mithili ya nguo za mitumba mtaa wa Kongo wakijiuza kwa bei chee!Katika mtaa huu kuna eneo ambalo wanawake hawa wamekodisha vyumba kwa ajili ya biashara hii yenye kutweza na kushusha hadhi ya mwanamke!Vyumba hivi vinajitegemea kwa kuwa na milango ya nje ili kurahisisha "wateja" kuingia na kutoka bila bughudha kutoka kwa wakazi wa nyumba hizo!
Wanawake hawa bila aibu huvaa nguo fupi na kujichanua katika milango ya vyumba vyao kusubiri "wateja" wanaomiminika kwa wingi kuanzia saa moja usiku!
Muda wa mchana hali ni shwari na huwezi kujua kama kuna "biashara" chafu inafanyika katika eneo hili!
Wenye nyumba hizi kwa tamaa ya kupata fedha wanawapangisha "AKINA MAMA POA" hawa wafanye ukahaba bila kificho!
Ukahaba katika Tanzania hauruhusiwi,mamlaka husika zipo zinafumba macho kana kwamba hazioni,kuna serikali ya mtaa,kata,wilaya mpaka manispaa ya Temeke!TAMWA mnafahamu kwamba wanawake wenzenu wanajiuza kama nyama buchani pale Temeke!!Kamanda kova take this for further action kama ilivyokuwa kule "HYENA SQUARE" ambapo hali imerudi kama zamani baada ya kusambaratishwa kwa kipindi kifupi!
AKINA MAMA POA HAWA WAMETHUBUTU KUFANYA UKAHABA,WAMEWEZA NA SASA WANASONGA MBELE 2012!
Hivi mambo kama haya nayo serikali inapaswa kuhangaika nayo? kama ninhyin wateja mkikataa hii biashara, nani ataendelea kuiuza? Mnataka serikali ije iwalazimishe msiende kwa makahaba? Hilo ni suala la ninyi wenyewe kuamua tu, si mpaka serikali. Acheni serikali ifanye mambo mengine muhimu, hili la kukataa ukahaba ni ninyi wenyewe jukumu lenu
 
Wakale wapi? wewe unayelalamika bila kutoa suluhisho. Bora kutoa suluhisho labda hata la kiroho.
 
Ukahaba tu huo nafuu mzee huku mitaa flani ya home Ar kuna ka mtaa kapya wenyewe wapaita Kashmir yani hapo utafikiri wana kibali cha wizi ukahaba gongo bange yani ukipita mitaa hiyo hata mchana kweupe. Unaweza pata balaa. Siku hizi unga ltd esso nk kumetulia shughuli imehamia hapo na polisi wanapishana mlangoni daily kutafuta kitu kidogo kwa ajili ya kujikimu. Tunakwenda wapi sijui.
 
wakale wapi? Wewe unayelalamika bila kutoa suluhisho. Bora kutoa suluhisho labda hata la kiroho.

suluhisho la kiroho halitasaidia!wote wana dini zao na dini zinakataza uzinzi!nguvu za dola zikitumika uchafu huu utakwisha!!
 
NDUGU,Kongo haipo Temeke,nimefananisha nguo za mitumba zinazouzwa MTAA WA KONGO!KONGO IPO AFRIKA YA KATI!

hawa wanao jiuza temeke wapo mtaa wa sudan mkabala na hospital kuu ya temeke. na zile nyumba sio kwamba wamekodi, zile nyumba wamepanga na wanalipa kodi ya mwaka kabisa. wale viumbe wanafanya kazi tofauti lakini hiyo ya kujiuza ndo imewaweka mjini. Mia
 
Hivi nguvu ya dora ina nguvu kuliko nguvu ya kiroho?!, viongozi wa kiroho wako likizo, wako kibiashara zaidi- wangeamka na kukemea, kuombea na kufundisha hakika hata wateja wangekosekana na biashara ingekufa.
suluhisho la kiroho halitasaidia!wote wana dini zao na dini zinakataza uzinzi!nguvu za dola zikitumika uchafu huu utakwisha!!
 
hawa wanao jiuza temeke wapo mtaa wa sudan mkabala na hospital kuu ya temeke. na zile nyumba sio kwamba wamekodi, zile nyumba wamepanga na wanalipa kodi ya mwaka kabisa. wale viumbe wanafanya kazi tofauti lakini hiyo ya kujiuza ndo imewaweka mjini. Mia

Inakuwaje mtu mwenye imani ya kiroho unamkodisha mtu chumba afanye ukahaba mwaka mzima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom