Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Hoyce Temu ni mbondei?
Hapana ni FARAJA KOTTA mtoto wa marehemu Major General Stefano Kotta mtu wa Bombuera kabla ya kufika Muheza mjini
Hoyce TEMU huyu hapa na sijui kama kaolewa na Waziri
Hapana Mke wa E. Lowasa ni Mrangi wa Kondoa na wasiwasi na Mke wa Dr SheniHuyu hapana......mkewe MBONDEI
Kweli bingwa nimekukubali,big LIKE.
Nitakutafuta nikupe 69 chupa moja inatosha? poa man
Hoyce Temu ni mbondei?
kanyiKwani Mkapa si alitokea mtwara kilocho mshinda kupeleka maendeleo kilikuwa nini?
Poa MZEE WA BATA
Sasa hapa unataka League ianze,mimi matusi siyawezi bana,naishi kwenye nyumba ya vioo vitupu mkuu.
kwani umelewa saa hizi?au uko baa unakunywa bingwa.
Ni mbunge wa viti maalum CCM kutoka Mkoani Lindi. Ametaja mtandao ambao umeonekana una majina ambayo yanaishia na rafudhi za kichaga kuwa ndio wameurudisha mikoa ya Lindi na Mtwara na wanahusisha mtanadao huo wa watendaji wa serikali walio na mafungamano na CHADEMA. Kawataja watendaji wezi ambao waneiba na kihamishwa ndani ya serikali. Kawataja wakuu wa wilaya na watendaji serikalini amewahusisha na ukabila na wote wakiiba wanahamishwa.
Sasa mimi najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanachaguliwa na kuteuliwa na nani? Chadema wanahusikaje kwenye uteuzi wa wezi? Chadema kwani ndio wanawahamisha hao watendaji? Chama gani kinaingoza nchi Chadema au CCM?
Hii ndio matokeo ya ziara ya CDM kusini. Kila mbunge wa maeneo hayo anayesimama bungeni anaonesha walivyoweweseka. Mwl. Nyerere alisema pale Kilimanjaro hotel kuwa mwanasiasa yeyote ALIYEFILISIKA ni lazima atafute legitimization yake au ya hoja yake kwa ama udini au ukabila. Ipo siku watajinyonga! Bravo CDM!
Kila kiongozi anayeingia madarakani ana mke wa kichaga.Sijui mke wa Edward Lowassa mama Regia sijui ni mchaga naye.Lol tunawaonea wivu tuu hawa wachaga.