Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Maofisi gani hayo ambayo unayaongelea? Kama wana sifa, elimu na ujuzi wa kazi, mimi sioni kwanini wasipewe kazi..unless una matatizo binafsi na hili kabila!!
 
Hizi sentiments za kibaguzi ndio zimetufikisha hapa tulipo. Tunaelekea soko la pomoja, muungano wa sarafu na mwisho shirikisho, kama tunaelekea miaka 50 ya uhuru, wewe bado unalia na Wachagga, hao Wakenya, Waganda, Warundi nk wakiingia, si kabila lako mtaishia kuwa ma housegirls na mashamba boi!.

Dawa sio kuwaambia Wachagga wapunguze kusoma, dawa ni wewe na kabila lako msome kuliko Wachagga muwapite na kushika hizo posti za juu.

Tukiikubali hii ya Wachagga, watafuatia Wahaya, kwanini Mshomile sana, tutawafuata Wanyakyusa mwisho hadi Iringa kwa nini inaogoza kuexport ma TX wa ndani etc, etc.

Huu ni ubaguzi tuu, hauna sura, ni dhambi sawasawa na kula nyama za watu!.
 
jibu ni rahisi hawakupata kazi shauri ya kabila bali kisomo, kazi zinapotangazwa sijawahi kuona wanasema kazi hii waombe wachaga tu au say kabila fulani huwa ni open sidhani kama hili ni tatizo kwa mtanzania wa kawaida . nadhani tatizo ni walimu vodafasta, bodi ya mikopo kutotoa mikopo kwa baadhi ya kozi shule zisizo na madawati wakati nchi ina resources za kutosha kusomesha wote kwa standard za hali ya juu
 
wazee someni sio kuwa na fikra za kijinga kuzeni miundombinu katika mikoa yenu.kilimanjaro imeachivu universal primary education in early 1970 ambapo kila mtoto wa kichaga ilikuwa lazima amalize darasa la saba.me mwenyewe kata niliyotoka ina shule za sekondari sita kabla ya hizi za lowasa tatu walizoongeza juzi.kazeni kusoma rudi pale ud ucheki walimu ni wangapi wachaga nyie mkipata hela hapa mjini chezzeeni then mfikiri wachaga watalza damu.
 
Sasa unataka wenzako wasisome wakusubiri wewe uende shule? Hizo si ndizo sera za awamu ya kwanza za kuweka average marks za kupasi kwenda Form ! kwa Wachagga kuwa kubwa kuliko Mikoa mengine. Matokeo yake wale ndio wakawa wana akili zaidi na kupasi zaidi kwenda Form V na hatimae Chuo Kikuu.

Walipobaniwa na Serikali kutokuingia government schools, Wachagga vile vile walijitahidi kujenga private schools ili wale walioachwa wapate fursa ya kwenda Sekondari. Mimi sio Mchaga lakini niliwahi kusikia wakati nilipokuwa Chuo Kikuu mwalimu mmoja akielezea huo mkasa.

Cha msingi ni hayo makabila mengine kujitahidi ili nao wapasi zaidi na kupata fursa zaidi za kwenda Chuo Kikuu.
Bi Mkongwe,
Usiseme uwongo. Katika awamu ya kwanza Wachagga tayari walikuwa mbele kielimu. Kulikuwa hakuna haja ya kuwapa average marks kuliko wengine. Kuanzia enzi za ukoloni Wachagga, Wahaya, wanyakyusa, walikuwa mbele sana katika elimu, thanks to missionary schools in their areas. Kulaumu awamu ya kwanza kwa upendeleo ni uwongo wa mchana.
 
Je UCHAGGA umekuwa kero kubwa? Je hawana uwezo, elimu, vigezo (perfomance and service delivery)?Tifanye nini ili kuuondoa?
 
utafiti wako umetumia kigezo gani?......si kweli kuwa wachagga ni wengi....rudia tena huo utafiti
wako wengi ndio
KWANI UCHAGA NI KABILA? kwa uelewa wangu finyu nadhani hamna kabila la wachaga,bali mjumuiko wa makabila ya watu wa moshi na kilimanjaro nadhani ndio unajulikana kama wachaga(wakishimundu,wamarangu,wapare,wakibosho na wengineo),hata wenyewe kwa wenyewe lugha zao hazifanani,hata mila zao bado ni tofauti pia. Hivyo hilo la kusema wachaga ni kabila sijalikubali,ingawa nipo tayari kukosolewa.Maana nielewavyo,ukabila huendana na uasili wa damu ,mahali,matumizi ya lugha moja, pia mila na desturi zinazofanana.
 
Wachag wamejazana maofisini sio kwa kuwa wamesoma bali ni kwasababu ya ukabila walio nao, akiingia mmoja atahakikisha anawajaza wenzake na makabila mengine yanayofanya kazi nayo yatadhalilika

CHADEMA ni mfano mkubwa, alipoachia madaraka Mtei akampa Mkwewe mbowe pamoja yakua Shule kafeli, huko chadema ndo wamejazana uchaga mtupuuuuuuuuuuuuuuu

ZITO hupati kitu huko, walikuita hero wakati ulikua unawatetea, ulipoanza kuwa chalenge umaarufu wako unashuka kwa sababu Media ikochini yao. Hawa jamaa wana ukabilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wachag wamejazana maofisini sio kwa kuwa wamesoma bali ni kwasababu ya ukabila walio nao, akiingia mmoja atahakikisha anawajaza wenzake na makabila mengine yanayofanya kazi nayo yatadhalilika

chadema ni mfano mkubwa, alipoachia madaraka mtei akampa mkwewe mbowe pamoja yakua shule kafeli, huko chadema ndo wamejazana uchaga mtupuuuuuuuuuuuuuuu

zito hupati kitu huko, walikuita hero wakati ulikua unawatetea, ulipoanza kuwa chalenge umaarufu wako unashuka kwa sababu media ikochini yao. Hawa jamaa wana ukabilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sio kweli mkubwa
kumbuka chama ni chama aiitaji proffesional,..uwezi mpa mtu asiekuwa na shule yake kazi just banndogo yuko nssf ama else whr,mfano haliisi tra walipiga kelele wachaga wanajazana wakaambiwa ata kama wanajazana wako qualified ikapitishwa sachi ya vyeti waliishiwa kuondolewa wahaya na vyeti vyao feki na baadhi wanyakyusa....na sion ajabu kama nakujua na uko qualified kwenye position kwa nini nikuache.....
Unamkumbuka mareehemu mwaikambo wa nic..mpaka leo hii watu wa nic awatamsahau alipoingia ukienda interview una mwa...mwa ..mwa yaani vyeti vinaita awana discussion kama unakumbuka alitaka kujichanganya akaanza kuwauzia wanyakyusa wenzake magari ya nic kwa mil 1.2 laki nane ikidaiwa yameisha...so hata wewe ukikamata madaraka ya natumaini hutoacha kabila lako achilia wale vicheche thosedays
 
wachag wamejazana maofisini sio kwa kuwa wamesoma bali ni kwasababu ya ukabila walio nao, akiingia mmoja atahakikisha anawajaza wenzake na makabila mengine yanayofanya kazi nayo yatadhalilika

chadema ni mfano mkubwa, alipoachia madaraka mtei akampa mkwewe mbowe pamoja yakua shule kafeli, huko chadema ndo wamejazana uchaga mtupuuuuuuuuuuuuuuu zito hupati kitu huko, walikuita hero wakati ulikua unawatetea, ulipoanza kuwa chalenge umaarufu wako unashuka kwa sababu media ikochini yao. Hawa jamaa wana ukabilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mbona hio cha mtoto inawezekana sio mzoefu wa vyama vya siasa

nenda tlp..mrema akawajaza wakina thomas ngawaiya na wenzake...na huu ndio muungano nyerere aliotaka tuuzinishe jana

nenda ccm

rais .......................jakaya mrisho kikwete
riziwani kikwete......mjumbe wa halmashauri kuu ya ....
Salma kikwete....mjumbe wa halamshauri kuu ya ccm ....

Bado wewe bull;na kwa style hii hata ndugu zako waliosoma wataishia kwenye mtandao wa natafutakazi.com,kazi999.com,nk
 
mbona hio cha mtoto inawezekana sio mzoefu wa vyama vya siasa

nenda tlp..mrema akawajaza wakina thomas ngawaiya na wenzake...na huu ndio muungano nyerere aliotaka tuuzinishe jana

nenda ccm

rais .......................jakaya mrisho kikwete
riziwani kikwete......mjumbe wa halmashauri kuu ya ....
Salma kikwete....mjumbe wa halamshauri kuu ya ccm ....

Bado wewe bull;na kwa style hii hata ndugu zako waliosoma wataishia kwenye mtandao wa natafutakazi.com,kazi999.com,nk


heeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimeshau majuzi mtoto wa rais kikwete miraji ktu kma hcho mwingine kaulamba

mwenyekiti wa uvccm ....huko bagamoyo so ukilala ndio yatakukuta kama yaliotutkuta kuja kwenye mtandao kulalama
kama baba zetu walichelewa bado na wewe usichelewe fungua njia kwa mwanao asije teseka kama wewe..........

So binafsi mi nafurahi hata kikwete akitoka kesho ana uhakika ameacha teaamwork nzuri ambayo huko mbelen kumbuka urais watanza kugaiana watoto na kama babako akukumbuka kwenye system tunabaki na jf yetu.....
 
Kama uko kwenye system na mafissadi sion mbaya ukiwatumia vyema kwa future ya wattoto wako
ukijifanya kusikiliza porojo humu utalia mtoto nae anakuja lia mjukuu mwisho unasikia
vitukuu vinaamua kujiua life mbofu mbofu kama bruuuuuuuuuuutuuuuuuuuuuus anavyotupa ...,....
 
Of course hakuna jipya wachaga ni wakabila, wanaiba sana kupeleka kaskazin kwa bibi zao, ndo maana hata wakati wa kuomba uhuru babu yao alijitokeza kuomba uhuru wa kilimanjaro, Msiwalaumu sana kwasababu wako narrow minded they only think in a shallow pit, they have left their fellow citizen thinking they are not responsible for a collective development.
Hakuna cha ukabila wala nini, mchaga ni tofauti na Shomile anavyokuwa madarakani japo kuwa shomile wamesoma sana kuliko wao, hakuna sababu ni ubinafsi and greedy.
 
Tukipita kila ofisi serikalini,binafsi,uwiiiii
wachaga tena wako post za juu jamani
inatia moyo lakini ndugu zetu tuwaachie na wengine naona watu wameanza kukasirika najua tofauti za shule ndio sababu basi msisome sana wengine tuingie huko...

Kaka Sio vizuri hata kidogo kuwaonea wachagga

Kinachowatofautisha wachagga na jamii nyingine ni DETERMINATION sio katika elimu hata katika biashara, na mambo mengine,,,,umegusia eneo moja mbona hukugusia na biashara inamaana kuna ukabila kariakoo????

Huo ni wivu na uvivu wa kufikiri,,,,,,watu kama wanaosoma wanafaulu kazi zinatangazwa wanaomba wanashindanishwa kwanini wakipta mnaona ni ukabila na upendeleo????nilichowapendea wanakuwa na malengo na malengo yao wanahakikisha wanayatimiza,,, waliobahatika kwenda shule malengo yao ni kusoma kwa bidii na hatimaye kupata kazi nzuri hali kadhalika ktk biashara,,,,,nimalizie kwa kukupa mfano moja tu,,,, namfahamu kijana moja wa kichaga ameishia darasa la TANO alikuwa anauzqa mifuko ya RAMBO,,,mtaji ukakuwa,, akaanza kuuza nguo,,, mtaji ukakuwa,,, akawa anazifuata mwenyewe china na mkalimani wake,,nivyoandika sasa hivi jamaa anakiwanda kidogo cha kushona nguo china,,,je hapo utasemaje wachina wamempendelea????????au kawahonga
 
suala la elimu halihusiani na Uchagga, suala la determination halihusiani na uchagga, na masuala mengine ambayo yanataka kudaiwa kuwa yanatokana na "uchagga" wa mtu hayana msingi. Hivyo, wivu wowote unaoelekezwa kwa wachagga unatokana na mtu mwenyewe kujiona duni mbele ya watu wengine. Ndio fikra hizi hizi zinawafanya watu wengine wakiona wazungu basi wanafikiri kwa vile ni "wazungu" basi wana akili sana, wanapenda sana elimu, n.k na mtu huyo akiwaona wahindi naye atasema kwa sababu ni wahindi ndio maana wanapenda medicine na hesabu; na akiwaona wachina ni hivyo hivyo.

Hizi ni fikra za mgando zisizo na msingi wa kisayansi!!

Ukishajiona wewe ni duni mbele ya mtu yeyote basi mbele ya mtu yeyote utajiona duni - quote me!
 
Mwanakijiji unapenda sana mada hizi kumbuka miaka 2 iliyopita ulianzisha mada gani iliyokuwa inahusiana na masuala haya leo unaruka unatakiwa kuomba radhi kwa mada ile na maneno uliyoporomosha wakati ule
 
Of course hakuna jipya wachaga ni wakabila, wanaiba sana kupeleka kaskazin kwa bibi zao, ndo maana hata wakati wa kuomba uhuru babu yao alijitokeza kuomba uhuru wa kilimanjaro, Msiwalaumu sana kwasababu wako narrow minded they only think in a shallow pit, they have left their fellow citizen thinking they are not responsible for a collective development.
Hakuna cha ukabila wala nini, mchaga ni tofauti na Shomile anavyokuwa madarakani japo kuwa shomile wamesoma sana kuliko wao, hakuna sababu ni ubinafsi and greedy.

Mkuu humo kwenye red unatakiwa kuwa na ushahidi.
 
Back
Top Bottom