mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 638
Ndo yule uliyekuwa naye last week.
huyu mbona ameokoka lakini,yule hajaokoka
Ndo yule uliyekuwa naye last week.
story naitilia mashaka,ni fact but kujua maambukizi ndani ya one week its impossible kuna ki2 inaitwa window period ambayo ni 3months hv
huyu mbona ameokoka lakini,yule hajaokoka
hako kaongo
Ndo huyo huyo. Kwani aliyeokoka hana Mbunye?
Mkaa Asha Dii, this is fiction story, japo lengo lake ni zuri tuu la kuzuia ukimwi!.Naweza kuwa nimekosea... Ila kwa mimi hii story imekaa ki hadithi mno. Ok, ni kweli wanaume wanatongoza saana na anaweza kuwa kaathirika anajua na akalala na binti/dada/mama bila kujali kuwa anamuambukiza huo ugonjwa. Ila kusema kweli ni nadra sana kuwa huyo mwanaume atakutamkia kuwa kakuambukiza makusudi na kuwa sasa uishi kwa matumaini.
Tukiacha hayo; suala la HIV/AIDs ni mtihani kwa wanajamii wote, iwe wanandoa ama walio nje ya ndoa. Kushinda na kukwepa maamubukizi ni kama tu hufanyi kabisaa! (Ama kwa zile couple ambazo zimebahatika kuwa na wenza ambao KWELI ni waaminifu ndani ya mahusiano yao).
Uzuri ama ubaya wa ugonjwa huu haukupati kwa misingi ya tabia uliyo nayo... Haukuogopi kuwa wewe unasali sana, kuwa wewe unatoa sana sadaka, kuwa wewe unapendwa sana, kuwa wewe ni bikira, na mengine meengi! Pamoja na kusema tabia ya kuendekeza ngono zembe inaongeza uwezekana wa kuupata ugonjwa, FACT inabaki kuwa unaweza kuwa na tabia ya utulivu, umemkumbatia Mungu, mtenda mema lakini bado ugonjwa ukakukuta. Ni kuomba tu Mungu kuchelewa kuupata na huku WEWE mwenyewe mhusika ukijitunza kuhakikisha kuwa unakuwa salama kutopata ugonjwa OR kujitunza baada ya kuupata.
Kuna kitu huyu Jane wa Mwenge kasahau... Yeye anadhani kuwa kulala na woote hao alikuwa akisambaza na kuwaambukiza huo ugonjwa hao marehemu na walio hai bado. Kasahau kuwa ugonjwa huu ni wengi sana wameathirika... Kashindwa utambuzi kuwa nguvu ya virusi vinatofautiana kati ya mmoja na mwingine na hivyo kulala na wote hao ilikuwa inadororesha afaya yake na si tu kutoa maambukizi. Na kasaha kua mwisho wa dhambi ni mauti... Kumjua Mungu mwishoni si tu anatoa/futa ugonjwa mwilini... Ila tu anatengeneza nafsi na roho yake kuwa kuondoka kwake kwa njia ya kifo iwe ya Imani kwake na kumpunguzia woga wa kuface ni nini kinapatikana baada ya kifo.
Hata hivyo niseme kuwa inasikitisha saana jinsi wanadamu (hasa wanawake) tulivyojishusha thamani kiasi kwamba tunaweza patikana kwa kirahisi kama nyanya za sokoni... Unaweza okota nyingine ikianguka toka kwenye tenga. Huu ugonjwa ni mtihani... Huwa tu inasikitisha pale watu ambapo hufanya ngono zaidi kuwaathiri wengine kwa malengo ya kukomesha. Sad.