yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
aliambiwa baada ya wiki moja halafu akaa kama wiki moja ndipo akaenda kupima na akakutwa ana mdudu....sina uhakika kama Bongo kuna technologia ya kubaini virusi one week tangu uambukizwe. Naomba nielimishwe.
Ukweli unabaki palepale wanao ambukiza wenzao kwa makusudi ni wengi sana kuliko tunavyofikiri, na tatizo ni kwamba hawatuambii pale wanapohisi wametuambukiza. Tulizana