Ujumbe wa Jaffarai kwa Mh.J.Mbilinyi a.k.a Sugu

Narrow minded people don't discuss issues, they discuss people. m sick and tired of these daily craps
 
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair

kwani fiesta ndo nini hebu leteni mambo ya msingi hapa bwana si kuongelea fiesta kwani inaongeza tija gani kwa jamii? fiesta fiesta hakuna lolote hizo hela mkawadhamini watu wasome sio kupromote miziki ambayo haina furture. watanzania wanahitaji elimu bora, matibabu bora, chakula bora nk na si fiesta bwana kwendeni zenu huko.
 
Fiesta ni wizi mtupu inanyonya wasanii,na inatumika na CCM,walijaribu kumfanyia fitina SUGU ashindwe UBUNGE kipindi cha uchaguzi mkuu,ila SUGU ni moto chini akashinda kwa kishindo mara mbili ya mbunge wa CCM,mpaka sasa katoa madawati 600 hapo META SEC,Na ABULANCE hospital ya mkoa,hao clouds wamefanya nini zaidi ya unyonyaji kwa wasanii na kuishabikia CCM,SUGU ni Rais wa MBEYA,huyu JAFFARII ni hasira za kuachwa na mwanamke aliyekuwa anamweka mjini,alishazoea kuwekwa mjini na mashugamami anachoimba hata hakijulikani.
 
SUGU amechaguliwa hajapendezwa kipimo chake ni miaka 5 ya maendeleo jijini MBY halafu mbona huu uwanja siyo wa majungu weka vitu live na evidence

Tangu lini mbuge akawa muinishaji wa matamasha ulisikia Mpesya ndiye aliye kuwa anawaita mbona hivyo acheni
 
Jaffarai nafikiri alikosa washauri wazuri, na kuendelea kuliongelea hili jambo ni kuendelea kujiaibisha. Nangekuwa yeye ningekaa kimya na ikiwezakana hata bifu nisingeweka na yeyote. angeendelea kumchukulia Sugu na SR kama marafiki wa kawaidi. Otherwise tutaendelea kuamini mahusiano yao yalikuwa kwa ajili ya ngawira...kama alimpenda kweli hawezi kumdhalilisha kwa kuongea maneno ya kitoto kwenye media. tulia dogo utampata mwingine.
 
Hivi Jaffarai huwa anaimba vitu gani?kwa kweli mi sijawahi kupenda muziki wake.Na sasa itabidi afanye matamasha mengi ili apate hela ya kula maana ATM si ishajiondoa kimtindo? kwa wadau jamaa anapigania mlo pia,

Ndugu zangu MSINITAFUTEEEEEEEEEEEE! MSINITAFUTEEEE!!!! Ndugu zangu MSINITAFUTEEEEEEEEEEEE! Niko bizeeeeeeeeeeeeee!


Yuko bize kupambana na Sugu

 
Ndio maana juzi kati akajitangaza amenunua gari la kisasa, kumbe ndio hela alizohongwa za kumchafua mheshimiwa sugu.
 
Mr sugu kama yanayosemwa ni kweli basi unachemsha big tyme. jaribu kutafakari kidogo maana waliokupa kura ni vijana sasa usije ukashangaa jimbo linarudi Chama tawala.
 
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair

Muda mwingine ni bora ukae kimya tu usiseme kitu sasa hapo ndio umesema nini, mwili gunia fikira kijiko
 
Nakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumbo
nakubaliana na Stuxnet, tukubaliane kwamba Mh. Sugu anatakiwa kusaidiwa mawazo ya jinsi ya kuwakilisha wananchi wa Mbeya Mjini,. kwa kweli anahitaji kujiwekea mikakati ya kujipambanua kuwa mbunge bora
 
Lengo la sugu ni kuzuia watu kuwatumia wasanii kama vibarua wao yani wacheze mziki kwa ujira mdogo. yeye sugu amesema anawasiliana na taasisi za fedha kuwawezesha wasanii ili waendeshe mziki na matamasha wenyewe bila ya kunyonywa na wadosi na vibaraka wao . yani mwanamuziki anacheza jukwaani kwa laki 2.
 
Kukataliwa kubaya mwacheni ababaike... kukataliwa kubaya mwacheni ababaike...... kHADIJA Kopa.
 
Those are nothing to me. Mr 2 kama kazuia tamasha atakuwa hana maana. Bifu lake na clouds is nothing to do with us... fiesta tutakwenda na hawezi. Tuache ushabiki wa vyama humu
 
Hata mimi siyo shabiki wa sugu na wala sina tatizo naye ila katika hili huyu mhe amechemka sana kwani chadema wote wako makini na hawakurupuki isipokuwa sugu na shibuda.

Kaka sugu kuwa makini sana na kauli zako kwani sasa tumeanza kuamini ni upepo wa dr slaa ndio uliokupa ubunge na ukumbuke tabu zote ulizopitia maishani mwako kitendo cha kutaka kuleta vurugu kwa kuwarubuni vijana wa mbeya isije kula kwako kaka. ukumbuke mabox uliyokuwa unabeba marekani. Je ushasahau? kumbuka umebakiza kipindi cha miaka 3 tu ya ubunge na baada ya hapo 2015 utakuwa na kazi ya ziada ya kujiuza.

Hata viongozi wa chadema hadi sasa wameshajua wewe hufai ila wataendelea na wewe lakini watakutosa tu 2015 na kuweka kijana zaidi yako na mwenye vision ya kichadema.

Inabidi uchague unataka nini maishani mwako burudani au siasa na kwa upande wangu bora uendelee na burudani kwani siasa huiwezi na hata burudani pia itakupa shida sana maana sasa game imebadilika sana usidhani ni miaka ile ya kutukana tukana. TAFAKARI KAKA SUGU.w
 
dira ya mtanzania ya leo naona imemchambua sugu kwa mapana yake kutokana na tivisho vyake kukataa fieast isifanyike mbeya. SASA INASEMEKANA WANAMBEYA WAMEMGEUKA MHE. MBILINYI WENYEWE WANATAKA FIESTA IWEPO PIGA UWA.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mimi ni naoan Mr II kachemka vibaya sana katika hili, yeye si msemaji wa watu katika masuala haya hata kidogo hana haki ya kuwasema watu kuburudika vipi. Kachukulia issue kipersonal mno na anajiharibia kwa 2015 watu watahoji upuuzi huu wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom