Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair
Hivi Jaffarai huwa anaimba vitu gani?kwa kweli mi sijawahi kupenda muziki wake.Na sasa itabidi afanye matamasha mengi ili apate hela ya kula maana ATM si ishajiondoa kimtindo? kwa wadau jamaa anapigania mlo pia,
hakuna haja ya kuzuia fiesta.... tungeanza na kusafisha mji na kusaidia vijanaUMETUMWA NA ILE RADIO YA MAWINGU AMBAPO JAMAA WANAOFANYA BIASHARA YA KUUZA NA KUKOPESHA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI
hahahaa
Ila kwa hili naona kama Mr 2 kachemka...yani yy bifu lake na Clauds ameamua kuzuia Fiesta Mbeya...agh hata kama inaua vipaji bt its not fair
nakubaliana na Stuxnet, tukubaliane kwamba Mh. Sugu anatakiwa kusaidiwa mawazo ya jinsi ya kuwakilisha wananchi wa Mbeya Mjini,. kwa kweli anahitaji kujiwekea mikakati ya kujipambanua kuwa mbunge boraNakusihi Patric Richard ufuatilie kwa makini mchango Wa huyo Sugu bungeni toka ameingia bungeni. Mimi sina uhusiano na hicho kituo cha hiyo radio inayoisema ila natoa tathmini huru. Kama unataka agombee Tena 2015 mrekebishe hujachelewa. Huna haja ya kunijibu mimi kwa hoja za utumbo