Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

Mheshimiwa naona kama haujaeleweka sana hapa, wanaume wa dar ni wapi hasa? Wazaliwa wa Dar au wale walioamia? Manake Umesema kukaa na kunywa kahawa kwenye joto, wakati huo huo unazungumzia kuhusu kufunga duka. Ebu naomba elezea vizuri ueleweke. Inawezekana ukawa una point ila ndo hivyo umeshindwa kuipangilia labda.

Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...

Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....

Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....

So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...
 
Duh sasa hii hatari. Ni ngumu kabisa kuelewa ulichoandika, mara wachumba, mara serikali tatu, mara katiba. Duh humu jamvini inabidi uwe na kifua.
 
Ukisikia paaaa....tena naongezea na pesa za escrow mmeambiwa sio zenu na nyie mnajichekesha tuuu...
Bado kuwapaka wanja tuu...

Hao panya road ni matokeo ya uoga wenuu......!
 
Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...

Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....

Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....

So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...

nyie huko zenji mmeikataa!

mbona wanaume wenu huko walipiga kura za siri?

mmesahau mlivyokimbilia Mombasa?

mmesahau kuwa huko ccm haishindagi urais lakini ndo wanatangazwa washindi?

Wanaume wa Dar hawana tofauti na kaka zako kina amiiii!!
 
Hivi panya road walifika kitunda kweli,mitaa yote inayotajwa kitunda siioni,wadau wa kitunda vipi panya waliwatembelea?

Panyaroad kwani hawajui cku chache zilizopita kulikua na utahiri wa wakurya bado moran wa kikurya hawajapona vizuri wana hasira na mapanga waliyokabidhiwa lazima yatendewe haki,lazima panyaroad ashtuke
 
kitunda ni tawi la kanda ya ziwa. panyaroad hawawezi kwenda
 
Kwahio kwa akili yako unafikili hii serikali yako itakuletea ndege zsizo na rubani! Hujawahi kujiuliza kwanini jeshi letu lipo vzuri sana ardhini? Hata Amini alikuwa vzuri angani ,lakini nini kilimpata!Wamerakani pamoja na nguvu zao kijeshi na kuwasidia wairaki hujiulizi kwanini ObOMA HAPELEKI JESHI LA ARDHI KUPAMBANA Na ISIS!. Unafikili vita ni teknolojia!

Sitaki kuingia kwa undani kuhusu ubora wa jeshi letu. Lakini kilicho sahihi kwenye hoja yako ni kuhusu vita. Vita vipo vya aina mablimbali kuna vita baina ya taifa moja na jingine, na kuna vita vya ndani (wenyewe kwa wenyewe). Boko haram, watutsi na wahutu, car civil war nk hawahitaji technolojia na siraha za kisasa bali ujuzi wa hali ya juu wa upelelezi/ujasusi na wa mapigano katikati ya umma. Panya road ni makundi ya kihalifu ambaye yakiachiwa yanaweza kuja kubeba sura yoyote ya ama kidini, kisiasa, kikanda au kikabila. Yanangoja ufadhili, mafunzo na oganaizesheni, na itikadi mwafaka. Kwa hiyo kupambana nayo hakuhitaji magari makubwa ya kisasa ya kijeshi bali askari (wa jeshi la polisi/wananchi) jasiri na wazalendo waliofunzwa kupambana na wahalifu hawa. Kwa hiyo ujuzi wa kutembea!, kupenya, kukimbia, kuchunguza, na kupigana mitaani (martial arts/street fighting)wahitajika. Askari wetu hayo ni mafunzo kwao kwa sasa. Hatupambani na marekani sisi
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tatizo na dhambi yenu kubwa kanda ya ziwa ni kuua walemavu wa ngozi na vikongwe kwa imani zenu za kishenzi shenzi na za kishirikina
 
nyie huko zenji mmeikataa!

mbona wanaume wenu huko walipiga kura za siri?

mmesahau mlivyokimbilia Mombasa?

mmesahau kuwa huko ccm haishindagi urais lakini ndo wanatangazwa washindi?

Wanaume wa Dar hawana tofauti na kaka zako kina amiiii!!

Mwanasheria wa Zenji alifanyaje? Wakati wa kwenu yuko busy kuidhinisha escrow mwenzake kapiga kura ya wazi...

Halafu huko Mombasa walikimbilis hivi hivi? Yani waliamka asubuhi wakakimbiaa....Mbona jwtz Inapelekwaga kuleee...

Halafu Mimi kaka zangu ni gas city...daadeki wamekaza gesi haitoki hadi Leo bila bila...yani akija polichi nchale, akija mwanajechi nchale ....

mliobaki wote chei chei...
 
Sitaki kuingia kwa undani kuhusu ubora wa jeshi letu. Lakini kilicho sahihi kwenye hoja yako ni kuhusu vita. Vita vipo vya aina mablimbali kuna vita baina ya taifa moja na jingine, na kuna vita vya ndani (wenyewe kwa wenyewe). Boko haram, watutsi na wahutu, car civil war nk hawahitaji technolojia na siraha za kisasa bali ujuzi wa hali ya juu wa upelelezi/ujasusi na wa mapigano katikati ya umma. Panya road ni makundi ya kihalifu ambaye yakiachiwa yanaweza kuja kubeba sura yoyote ya ama kidini, kisiasa, kikanda au kikabila. Yanangoja ufadhili, mafunzo na oganaizesheni, na itikadi mwafaka. Kwa hiyo kupambana nayo hakuhitaji magari makubwa ya kisasa ya kijeshi bali askari (wa jeshi la polisi/wananchi) jasiri na wazalendo waliofunzwa kupambana na wahalifu hawa. Kwa hiyo ujuzi wa kutembea!, kupenya, kukimbia, kuchunguza, na kupigana mitaani (martial arts/street fighting)wahitajika. Askari wetu hayo ni mafunzo kwao kwa sasa. Hatupambani na marekani sisi

Mkuu sikumanisha Tanzania kupigana na Marekani,mbali nilikuwa nasemea ubora wa jeshi letu ardhini. Hata kuna taarifa nchi ya Burundi imeiomba Tanzania kwenda kuwasaka waasi. Je hakuna nchi nyingine? Huwezi enda benki kutibiwa malaria au uende hospitali kuhifadhi fedha! Na kote huko wakienda umeshawahi kuona wanaondoka na ndege za kivita? Kila jeshi lina ubora wake, kama ulivyochaganua hapo juu. Mmarekani pamoja na ubabe wake wote lakn anawaogopa Mchina, Mrusi na Mkorea kaskazini, kuna vitu haya mataifa ni tishio kwa mmarekani. Sishp nchi iliyofanywa masikini,kwahio waliopewa dhamana ya jeshe lazima waboreshe kule kwenye upatikanaji wa malighafi.Ukisoma Arts Of War cha Sun Zu na nadharia ya S.W.O.T. ,vita wakati mwinine sio mateknolojia ya kutisha. Kuwa na watu wenye moyo wa kupigana na vifaa. Ndo mana kuna msemo adui yako mwombee njaa,yaani ukifanikiwa tu kuharibu ghala la chakula la adui na ukahakikisha hapati chakula, kwanza wanajeshi morali ya kupigna itashuka na pia njaa tu itanyoosha.
 
weeee mi nipo chuga kwa wanaume si huko kwa watoto wa kiume. Mhmhmh hii mada kiboko jamani

Hahahaaa mbna chuga napo kuna mitaa y huko mbauda,sombetini,matejoo huwa wanakuja kma 30 hivi hpo mtu utatoka kupambana nao au kutafuta kifo 2
 
Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...

Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....

Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....

So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...

kazi kweli kweli!
 
Panyaroad kwani hawajui cku chache zilizopita kulikua na utahiri wa wakurya bado moran wa kikurya hawajapona vizuri wana hasira na mapanga waliyokabidhiwa lazima yatendewe haki,lazima panyaroad ashtuke

mpaka mmoja akafa, mitaa ya KB LODGE kule Mwanagati!
 
Lakini hii mada ina ukweli ndani yake.....wazawa wa DAR wana asili ya ulege lege......hata huku JF kutwa nzima wanashinda SELEBRITI FORAMU....

Haha haaaa,naona umezidiwa kwelikweli.Wenzio wamekimbia au wanapita hapa kimyakimya maana mmepewa ukweli wenu.
MJIREKEBISHE!!!!
 
Back
Top Bottom