Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

Hivi hzi picha mbona ni kama zile za mabomu za gongo la mboto? naomba wataalam wanisaidie, hz hazihusiani na tukio la panyaload, ni macho yangu yanaona hvo
 
Acheni kukaa vijiweni na kucheza bao na pia hii tabia ya kuangalia vitamthilia vya ufilipino vyenye mashoga kibao ndio vinawafanya wanaume wa dar kuwa waoga. Hao tu ni Panya Road je wakija Paka Railway itakuwaje. Acheni hizo bhana.
 
kaka ni rahisi wewe kutamka hilo.ila katika mazingira ya watu kuokoa maisha yake hakunaga mwanaume wala mwanamke.Mkuu hakuna mtu anapenda kufa ili tunataka kwenda mbinguni.

kwenye ishu ya kuokoa maisha hakuna mwanamke wala mwanaume
 
wapo wanawake

Tena Kama Hujaolewa,usije Kukubali Kuolewa Na Hao Pimbi,or Else Utajikuta Unaishi Na Mwanamke Mwenzio,ndo Maana Ushoga Umetamalaki Sana Huko,tangu Nimeishi Kanda Ya Ziwa Sijawahi Kutana Na Shoga,huwa Ni Dar,zanzibar,na Tanga,ma Mtu Ya Pwani Hovyoooooooo...! Ndo Maana Wali Yanauita Ubwabwa,maana Ni Mabwabwa.
 
Walivamia kwa waliochoka na wala chips, wangekuja kwetu tungewatoa miguuu kwa vitu vya ncha kali
 
Wanawake watupu...tuvaage sketi tu wote tujue moja kwamba wanaume hawapo

Njoo Kanda Ya Ziwa U Enjoy! Huko Unakaa Na Wanawake Wenzako,vitoto Vile Vi Panya Havikuwa Vya Kuvikimbia Na Kuomba Msaada Wa Police,ilikuwa Ni Wanaume Kuji Organise Na Kuvifanyia Counter Attack,hebu Wajaribu Huku Waone.
 
kuna mtu amewahi kuanzisha mada hapa JF kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wana JF huwa wanasema wapo Dar na ikajulikana kuwa ni kweli.
Sasa mbona hapa siwaoni badala yake wanaonekana watatu au wanne na wao wanaonekana kukata tamaa na kuishiwa nguvu kwa kukosa support ya wana JF wengine!
Au wanaisoma mada kama guest?
Profesa!
 
Nasikia hao panya road wamealikwa huku kuja kufanya shughuli zao kama wanaweza kisha warudi kuhadithia wenzao nini kimewapata.
ImageUploadedByJamiiForums1420547291.733802.jpg
 
kaka ni rahisi wewe kutamka hilo.ila katika mazingira ya watu kuokoa maisha yake hakunaga mwanaume wala mwanamke.Mkuu hakuna mtu anapenda kufa ili tunataka kwenda mbinguni.

kwenye ishu ya kuokoa maisha hakuna mwanamke wala mwanaume

Kama Wangekuwa Na Bunduki Hapo Sawa,lakini Mapanga,marungu,na Visu Wanaume Mnakimbia,mlishindwa Kuitana Nanyi Mkabeba Marungu Na Kwenda Kuvikabili?? Nyie Ni Majinga Sana.
 
hivi hao panya road walivamia dar nzima??? maanake naona hizi thread za kipuuzi za dar hamna wanaume zimejaa humu. walivamia dar nzima?? mbona mimi ninapokaa sijawaona na tulikuwa tumerelax tu tunapiga stori

:A S wink::A S wink::A S wink: :peep:
 
Njoo Kanda Ya Ziwa U Enjoy! Huko Unakaa Na Wanawake Wenzako,vitoto Vile Vi Panya Havikuwa Vya Kuvikimbia Na Kuomba Msaada Wa Police,ilikuwa Ni Wanaume Kuji Organise Na Kuvifanyia Counter Attack,hebu Wajaribu Huku Waone.

Wacha wee....naja ngoja nifungashe
 
hivi hao panya road walivamia dar nzima??? maanake naona hizi thread za kipuuzi za dar hamna wanaume zimejaa humu. walivamia dar nzima?? mbona mimi ninapokaa sijawaona na tulikuwa tumerelax tu tunapiga stori

Kawasaidie hao wavulana acha kulalama
 
Kama Wangekuwa Na Bunduki Hapo Sawa,lakini Mapanga,marungu,na Visu Wanaume Mnakimbia,mlishindwa Kuitana Nanyi Mkabeba Marungu Na Kwenda Kuvikabili?? Nyie Ni Majinga Sana.
kaka mjini sio kama kijijini ambako watu mnafahamiana huku nyumba hii hamjui nyumba ya pili sembuse umwite mtu aje apambane .Mkuu huku kila mtu nafsi yake kwanza
 
Back
Top Bottom