Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
tumeletewa fiber, sasa mawasiliano bwerere, na tuko njiani kwa mradi mkubwa ICT kwa elimu unaojulikana kwa Tanzania Beyond Tomorrow
nyie lieni tu
Kwa umeme upi? au hutambui kuwa hiyo 'ahadi hewa' inahitaji umeme?LMFAO.