bobishimkali
Member
- Aug 25, 2010
- 59
- 0
Ofcourse ni ujumbe mzuri
Anayeweza kusibitisha ugonjwa wa mtu ni doctor pekeyake, na doctor tayari amebainisha kwamba mgombea wa ccm siyo mgonjwa, kama nyie mnavyotumia vipimo vyenu vya kuagua kwa mganga wa kienyeji. Mmeishiwa sera na mikakati ya kumnadi mgombea wenu wa CHADEMA, mmebaki kupiga majungu na fitina zisizokuwa na msingi
Mfa maji hakosi kutapatapa kama mnavyofanya sasa