BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
nimekuona kamanda wewe kweli mlinzi wa hapa.
afu huwezi amini najilipa mwenyewe...guess what...
nimekuona kamanda wewe kweli mlinzi wa hapa.
Salam wanajamii
wapi wale vidume wenzangu?
wapi wale warembo wetu?
Wapi wale waungwana?
Wapi wale makaidi?
Kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu pokeeni.
Naahidu ushiriki,
kamwe sitawashiti,
meli nanga imetiki,
JF jahazi kushiriki,
kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu upokeeni.
njoo nikuoneshe Amyner. Inalipa sana.