Ujio wangu upokeeni

Shabhan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
236
102
Salam wanajamii

wapi wale vidume wenzangu?
wapi wale warembo wetu?
Wapi wale waungwana?
Wapi wale makaidi?
Kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu pokeeni.

Naahidu ushiriki,
kamwe sitawashiti,
meli nanga imetiki,
JF jahazi kushiriki,
kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu upokeeni.
 
Karibu Mh.
Hata hivyo umetia maguu na kam'kwara
any way, tuko pamoja
 
Karibu sana, ila mbona umebishia hodi chumbani?!
MP.
 
Karibu sn,ila mie mrembo wa Rejao.

Mmmh ! Leo uko online kwa sana!
Sijui ndiyo kiwewe cha Alumelu!
Mimi sijui !
Nakwambia nisaidie basi kumtambulisha mrembo wangu.
Alafu huyu mgeni mbona namuona kama mwenyejimwenyeji hivi !
 
Mmmh ! Leo uko online kwa sana!
Sijui ndiyo kiwewe cha Alumelu!
Mimi sijui !
Nakwambia nisaidie basi kumtambulisha mrembo wangu.
Alafu huyu mgeni mbona namuona kama mwenyejimwenyeji hivi !

Nimerelux kifuan kwa rejao ndio maana na mud ya kua online mda wote!wala hujakosea soma katikati ya mistar utagundua hana kamba mguun!
 
karibu...usishangae mm ndio mlinzi wao...sina zamu maalum...utanikuta mchana usiku wa manane...alfajiri...umeingia na shairi tamu!..
 
Ngumu sn,pale nimekwama na ctaki kukwamuliwa lol!nipm ID yako ya zaman bac!

Jinsi ulivomtaja mshikaji kama vile wahitaji rescue mission.
Nimeona mahala anatafutwa atakua kapata bi mdogo. ID hii hujaipenda?
 
karibu...usishangae mm ndio mlinzi wao...sina zamu maalum...utanikuta mchana usiku wa manane...alfajiri...umeingia na shairi tamu!..

Shukrani kamanda. Unahitaji ulinzi shirikishi?
 
Nimerelux kifuan kwa rejao ndio maana na mud ya kua online mda wote!wala hujakosea soma katikati ya mistar utagundua hana kamba mguun!

Jf patamu sana! Yaani hupati shida kumaizi huyu real mgeni na mgeni magumashi !
Kama akina sie Bunju akili kichwani post mbili tu za mgeni zatosha, nimekumbuka nikanywe maziwa mgando kwanza, nitarudi .
 
Back
Top Bottom