Ujio wangu upokeeni

huyu mgeni

1. Anaonekana ni Sanguine kabisaaaaaaaaaa... kadominate uksribisho wake!!
2. Anaweza kuwa perfect mach ya Kongosho (kule kwa babu mnamuona tuu)
 
Salam wanajamii

wapi wale vidume wenzangu?
wapi wale warembo wetu?
Wapi wale waungwana?
Wapi wale makaidi?
Kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu pokeeni.

Naahidu ushiriki,
kamwe sitawashiti,
meli nanga imetiki,
JF jahazi kushiriki,
kwa unyenyekevu ninaomba ujio wangu upokeeni.

mbona unaonekana mwenyeji,Id yako ya kwanza ni ipi?
 
Back
Top Bottom