Ujio wa Mwigulu Nchemba,nyumba ya katibu wa CHADEMA yachomwa moto

Wa mgao

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
321
73
Taswira ya mbunge wa iramba magharibi,nd mwigulu Nchemba imezidi kuharibika jimboni kwake iramba.Kuharibika kwa taswira ya Mwigulu,kumeongezeka baada ya ziara yake iliyoanza jana hapa iramba,kuambatana na tukio baya lenye harufu ya kigaidi,la kuchomwa moto kwa nyumba ya katibu wa chadema kata ya kidaru,ndugu Philipo Manguli na kuteketea kabisa pamoja na tv,thamani za ndani na vifaa vya uenezi kama bendera na kadi.Mwigulu nchemba amekuwa akimtisha kiongozi huyu wa chadema,hasa baada ya kazi nzuri anayoifanya ya kuelimisha wananchi.Usiku wa kuamkia leo vitisho vyake vimeanza kutimia baada ya kuteketezwa kwa nyumba yake na yeye mwenyewe manguli na familia yake kunusurika kifo.Hivi karibuni alimtisha jeska kishoa.
 
Mkuu mwigulu amehusika vipi tarifa yako haijaonesha kuhusika kwa mwigulu pengine unaongozwa na hisia binafsi au za kisiasa.
 
Toa namna ambavyo wanachama na mashabiki wa CDM tunavyoweza kumuchangia. Polle sana ndugu yetu ktk mapambano. Huo ni udhalimu ujihadhali sana na huyu bwana ila usichoke kuwatafutia wana Iramba ukombozi wa pili.
 
Uyu Mwigulu nafikiri atakuwa na Mbingu ya kwake akifa sio bule! Make amekuwa Mungu Mutu apa Duniani! Sasa mm namuomba Mungu amuongeze ujasili afanye zaidi ya haya anayo yafanya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu mwigulu amehusika vipi tarifa yako haijaonesha kuhusika kwa mwigulu pengine unaongozwa na hisia binafsi au za kisiasa.

Mwigulu ni Gaidi la kimataifa hivyo haihitaji elimu ya secondary kujua kuwa yeye ndiyo ali facilitate nyumba ya kamanda wetu kuchomwa moto
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwigulu anajitakia,hata kama yeye si mhusika.Tazama alivyomtishia maisha dada Kishoa,ivi leo akifikwa na masaibu si itaonekana tu ni kazi ya Mwigulu
 
Mwigulu ni Gaidi la kimataifa hivyo haihitaji elimu ya secondary kujua kuwa yeye ndiyo ali facilitate nyumba ya kamanda wetu kuchomwa moto

Hii ndio chadomo....kutoa hukumu kwa jambo la kusikia....ni nchi gani itaongozwa na watu wa jamii yako, mnaosikia tu vijiweni kuwa bibi wa nyumba fulani ana macho mekundu ni mchawi na mkajikusanya na kuenda kumuangamiza.

Na kwa akili hizo zinazokosa busara unatarajia siku moja uwe mgeni rasmi kwenye mahafali ya kumaliza darasa la saba kwenye shule fulani na utoe nasaha......SHAME ON YOU.
 
Mwigulu katika hilo anahusika 100%. Mwigulu kama angekuwa kwenye taifa linalofuata taratibu na utawala wa sheria, leo angekuwa jela!
 
Mandevu ameishiwa sera hivyo vurugu pekee ndiyo kete yake ya mwisho, na hao polisi wafanye kazi kwa makini!
 
Mkuu mwigulu amehusika vipi tarifa yako haijaonesha kuhusika kwa mwigulu pengine unaongozwa na hisia binafsi au za kisiasa.

Kwa hakika Damu nyingi itamlilia Mwigulu Daima,hata mkitaka ushahidi mpaka Mbinguni lakini mazingira yanaonesha,mtu huyu police hamuhoji kwa lolote.TUTAKMATA DOLA TU,IPO SIKU TU,HUYU TUTAMFIKISHA PANAPOSTAHILI.
 
Mkuu mwigulu amehusika vipi tarifa yako haijaonesha kuhusika kwa mwigulu pengine unaongozwa na hisia binafsi au za kisiasa.

Hili ndilo tatizo la KUBINAFSISHA AKILI! umesha ambiwa kwamba Mwigulu amekuwa na tabia ya kumtishia huyo Katibu aliye chomewa nyumba. Kipi ambacho unashindwa kumuunganisha Mwigulu na hilo tukio?
 

hv huyu mwigulu
yote aliyoyafanya na kutajwa
kuhusika nayo,vyombo vya dola havioni?
kwa nn asichukuliwe hatua?anatuchosha
na mabalaa yake!!au yupo juu ya sheria!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kilichobaki ni kumchukulia sheria mkononi na kumpa kichapo tu. Kuna lema na huyo savimbi chemba nkikutana nao sehemu nzuri lazma niwapge hata na jiwe.
 
Back
Top Bottom